Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

Miaka ya nyuma sana alifariki mtoto wa general wa jeshi hapa SA ubalozi ulitoa hela na vitu vyote baada ya kujua ni mtoto wa Mkuu na mambo mengi walisimamia wao...
General wa jeshi ni Mtumishi wa Umma Serikali inapaswa kugharamia mazishi yake, Mke wake na Watoto wa 4.
 
Kabla Muungano Zanzibar ilikua ina uwezo kuliko Oman Muungano umekuja kusimamisha Au kuua kabisa maendeleo ya Zanzibar
Sawa, Zanzibar ijitoe katika Muungano basi irudi kwenye maeneleo kuliko Oman.

Unaelewa kusema kabla ya Muungano Zanzibar ilikuwa na uwezo kuliko Oman hakuna maana sana, kwa sababu miaka hiyo Ghana ilikuwa na uwezo kuliko Singapore.

Na Ghana imedoroa na kupitwa na Singapore bila Muungano na Tanganyika!
 
Kumbe wengi humu hatujui haki zetu za kiraia.
Ndo. maana Raisi Kenyata(The Senior) aliwahi kumwambia Mwlm Nyerere ''Wewe unatawala maiti,'' Mimi natawala watu walio hai''
 
aise kumbe ukiwa abiria wa ndege ya shirika Fulani ukipata shida, hata ukifa utakuwa umevunja mkataba, unappteza kila kitu"valueless"nauli uliolipa inakoma Mara Moja, bima ambayo ni incorporated kwenye nauli haina cha kumsaidia mwathirika. Shirika haliathiriki, Bima ni ya nini?
 
Na ndo maana ikawa dharura na sio kwamba inatokea kila wkt l, hivyo walipaswa kwl kusaidia hiyo familia
 
Kilicho nifanya nilalamike ni kule kuona kuwa katika DHARURA isiyotazamiwa, ni lazima Balozi awajibike kwa raia wake.
Kwa tukio Hili napoteza imani na Jamuhuri Ya Tanzania na Balozi zake zote , ni kama vijiwe vya maskan.
Wezetu
Balozi wa South Africka alimsafirisha kijana wa miaka 15 aliekuja TZ kwa Baba yake aliyekuja kwa hiari yake na ridhaa ya mama yake ili asomee huku shule, baada ya mama mzazi kubadili mawazo kule cape Town na kuenda Home affairs na ku complain kutaka mwanae arudi South. Ubalozi ulimchukua kwa amri wakisaidiwa na Polisi TZ na kumsafirisha na kumfanyia shopping binti yule kabla ya kuondoka.
Huko ndio kujali raia. Yule mama hakuakiwa kuchangia chcochocte.
Hii nchi Imefubaa Mno, tumebobea kwenye siasa za maji taka na kujifanya wajuaji sana.
Ndomana Kenya tayari wana Katiba mpya sisi bado Bla bla kwa kuwa sisi Maiti
Mwakajana kuna kijana aliowa kule na kupata mtoto
Mwaka jana
 
Ni vitu ambavyo vinawezekana sema kwa Nchi zetu ikiwepo hela ya dharula wahusika hawataweza kupata kutokana na ubinafsi uliokuwepo...
Hela ya dharula unafikiri ubalozi mmoja unaweza kuhitaji kiasi gani kwa mwaka?

Unaelewa hiyo hela ya dharula inatokana na kodi ya wananchi na imepangiwa mambo mengi sana?

Unaelewa kwamba hizo balozi tayari zina madeni ya kulipa kodi za nyumba na mishahara ya watu?

Kwa nini Watanzania wengi tunapenda kuivika serikali mzigo wa matatizo yetu wenyewe?

Unajua GDP per capita ya Mtanzania mmoja wa kawaida kwa wastani ni kiasi gani na gharama za kusafirisha maiti ni kiasi gani?
 
Lakini mara nikakumbuka kuwa kama Zanzibar ingelikuwa na Ubalozi wake kule tungelipata matokeo tofauti?
Kosa lako kubwa linaanzia hapa.

Linafanya uonekane una ajenda nyingine pembeni.
 
Na ndo maana ikawa dharura na sio kwamba inatokea kila wkt l, hivyo walipaswa kwl kusaidia hiyo familia
Kifo ni kitu ambacho kila mtu anajua atafariki, sasa kinakuwaje dharula?

Kila mtu aliye nje akifa tukisema ni dharula serikali ilmsaidie, itaweza kusaidia?

Ikisaidia wengine na kuacha wengine, hapo si ndiyo mwanzo wa malalamiko ya kwamba watu fulani wanapendelewa?

Hakuna logic ya serikali kulipia nauli ya maiti kutoka nje, hili ni jambo lenye gharama kubwa sana na mara nyingine watu ambao si wasafiri hawajui kwamba nauli ya maiti ina gharama mara nyingi sana kuzidi nauli ya mtu hai.

Watu wajiwekee akiba, wakate bima, wachangishane rambirambi, wasaidiane, serikali labda itasaidia ku coordinate mambo na kufuatilia lakini kuipa serikali mzigo wa gharama hizi ni jambo lisilowezekana kwa bajeti hafifu za balozi zetu hizi.
 
Ngoja yaje kukuta, siku utaukumbuka huu uzi.
Haya masuala yanajadilika kiuchumi, habari ya ngoja yakukute hazina tija.

Kama ubalozi hauna bajeti hauna bajeti tu.

Na hapa tunaelimishana kwamba ubalozi hauna wajibu wa kurudisha maiti ili waliofikiri huu ni wajibu wa ubalozi wajiandae kabisa yasiwakute.
 
Nimeyasema haya nikiwa na Uchungu mkubwa wa kuona kuwa MUUNGANO WETU umekuwa kikwazo kwa raia wa Zanzibar .HILI NALO NI MOJA YA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO kwenye mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. We are not treted equaly.
Na kweli.

Kumbe mada yako imeegemea kwenye agenda maalum na siyo tukio la msiba lililotokea.
Unautumia msiba wa ndugu yako kusimamia ajenda ambayo tayari unayo kichwani.
 

Asikwambie mtu wazanzibar wana hutu sana ,ukiona mzanzibar ana roho mbaya basi huyo mzanzibar wa magomeni au ilala.

Wabara wana umimi sana ,sasa serikali inashindwa vipi kugharamikia tukio kama hilo? JMT hawana funds za dharura?
 
Ubalozi wa Zanzibar au Ubalozi wa Tanzania?

Shina la malalamiko mkuu ni kuona wazanzibari wanatengwa au?

Poleni sana kwa msiba wa sista aisee
Pole saana dada yangu yaani viongozi wa Bara, are too selfish ,hili tukio la wanafunzi wa kitanzania kutelekezwa wenye asili ya bara nalikumbuka saana ....wewe kama hujali raia waliokuweka hapo ,you will remain useless leader forever ........
 
In the famous words of President John Fitzgerald Kennedy of The United States of America.

""Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country."
 
Tanzania NI MOJA.
Zanzibar na tanga nyika tulishazizika.

Kwng mm naona mtoa post ameleta ubaguzi wa wazi wazi.

Kusema kama ingekuwa ubalozi wa Zanzibar wangesaidiwa.
Maana wanasaidiwa sn na SMZ kuliko na serikali ya Tanzania.

Amesahau kama Zanzibar ni ndani ya Tanzania...
 
Anyway sote tutakufa tuu uzuri tukifa hatujui yanayoendelea
 

Ni makosa makubwa kuandika message/post ukiwa na emotions, kwa sababu you will end up kuonyesha ujinga wako.
 
Mwaka jana Nchiya Oman Illeta Ndege Kuchukua raia wake wote waliokwama kwa sababu ya Corona na kuwarudisha Oman Free of charge.
Hii ndio kujali kwa nchi na raia wake.
Tiizii bola kunakucha na kunakuchwa ndio maahana hata kile kimbunga kikaonà chaja kumaliza tu nguvu zake bure kwa walking deads wa Tz kikahamja kiingie mitini
 
Mwaka jana Nchiya Oman Illeta Ndege Kuchukua raia wake wote waliokwama kwa sababu ya Corona na kuwarudisha Oman Free of charge.
Hii ndio kujali kwa nchi na raia wake.
Tiizii bola kunakucha na kunakuchwa ndio maahana hata kile kimbunga kikaonà chaja kumaliza tu nguvu zake bure kwa walking deads wa Tz kikahamja kiingie mitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…