Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

Miaka ya nyuma sana alifariki mtoto wa general wa jeshi hapa SA ubalozi ulitoa hela na vitu vyote baada ya kujua ni mtoto wa Mkuu na mambo mengi walisimamia wao...
Sasa hapo kama walifanya upendeleo inakuwa si sawa.

Na ubalozi unaweza kusaidia sehemu moja ambapo una uwezo wa kusaidia, halafu msaada huo ukaleta tatizo kila mtu akataka kusaidiwa kwa kusema "mbona yule kasaidiwa?", wakati ubalozi hauna uwezo wa kumsaidia kila mtu.

Ndiyo maana watu wenye mifumo na kujua sera za fairness kama Wamarekani waliweka bango nje ya ubalozi kwamba Mmarekani ukiwa na matatizo ya kuishiwa hela Tanzania usitegemee kwenda ubalozini ukasaidiwa hela.

Kwa sababu walijua wakimsaidia mtu mmoja wamejitengenezea mazingira ya kumsaidia kila mtu au kuitwa wanafanya upendeleo kwa watu fulani na kuwatenga watu wengine.
 
Huyu Mtanzania alikuwa safarini peke yake, Ethiopia haikuwa destination yake , alishushwa kwa dharura ya kuumwa ghafla na umauti ukamfika huko.Sisi hatuna familia wala jamaa kule.
Kama balozi yupo ,unadhani nanai awajibike kutowa msaada?
kama hawalipi gharama zote , hata kuchangia sehemu ya Gharama ubalozi hauwezi ?
Pole asna na msiba.

Haya malalamikoyako umeya peleka panapo husika amaumekujatu hapa kulala mikia muungano.
Nenda wizara ya mambo ya nje ukawaeleze kilichotokea utapata majibu sahihi.
 
Mwaka jana Nchiya Oman Illeta Ndege Kuchukua raia wake wote waliokwama kwa sababu ya Corona na kuwarudisha Oman Free of charge.
Hii ndio kujali kwa nchi na raia wake.
Hakika, lakini pia inachochea uzalendo!.
 
Miaka ya nyuma sana alifariki mtoto wa general wa jeshi hapa SA ubalozi ulitoa hela na vitu vyote baada ya kujua ni mtoto wa Mkuu na mambo mengi walisimamia wao...

Mtoto wa Jenerali atakuwa alilipiwa na jeshi kupitia mwakilishi wake hapo ubalozini. Aidha, serikali inawajibika kusaidia kuzika mtumishi wake na familia yake (mke/mme na watoto). Hata angefia Bongo wangesaidia.

Amandla...
 
Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu.
Taratibu fuatilia

Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania).
Akiwa ndani ya ndege ' Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini Ethiopia ikiwa nio kiwanja cha karibu kwa walipokuwa.

Tukio hili la kumshusha pale ni sehemu ya taibu za ndege inapotiokea dharura. Mgonwa alipelekwa Hospitali na Kufarikiduni muda mchache baada ya kufika hospitali.

Yamkini serikali ya Ethiopia iliarifu ofisi ya Kibalozi ya TANZANIA kwa hatua stahiki.

Wana familia nao tulipopata habari tuliwasiliana na Balozi ili kujua hatua gani zifanywe ili Mwili wa marehemu urejeshwe Nyumbani kwa mazishi. Balozi wa Tanzania alianza kutudanganya na kutupiga danadana eti akidai kuwa hana FUND za kugharamia matukio ya aina hii.

Hatimae ilitubidi wanafamilia tulipishwe Gharama za Hospitali, Kusafirisha mwili na kila kilichohusu kusafirishwa kwa mwili husika.

Mwili ulifika jana tarehe 27/04/2021 kwa ndege ya Cargo ya Ethiopia Air Line

Nilianza kujiuliza NINI FAIDA YA KUWA NA BALOZI NCHINI ETHIOPIA? Lakini mara nikakumbuka kuwa kama Zanzibar ingelikuwa na Ubalozi wake kule tungelipata matokeo tofauti?

Ilishawahi kutokea wanafunzi wa Tanzania walioko nje nchi fulani(siitaji) walipungukiwa na Masurufu ya matumizi, Wale wa Zanzibar wakatumiwa na SMZ fedha za kujikimu na wale wa Bara wakalazimika kurudi au familia zao kutuma fedha.

Nimeyasema haya nikiwa na Uchungu mkubwa wa kuona kuwa MUUNGANO WETU umekuwa kikwazo kwa raia wa Zanzibar .HILI NALO NI MOJA YA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO kwenye mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. We are not treted equaly.

Namuoba Waziri wa mambo ya nje Ahusike na tukio hili la Ethiopia kwani Ubalozi wa TZ haukusaidia lolote kifedha katika jambo hi la Marehemu.

Isije ikatumwa Invoice ya kuonesha kuwa Ubalozi ulitumia fedha,itakuwa ni Upigaji wa fedha za serikali.

Nawakilisha.
Watanzania wamekuwa raia daraja la 4 wa dunia! Vinchi kama rwanda inapelekwa ndege special kusupport raia wake! wanakwaya wa kisabato wa rwanda walipatia ajali huko shinyanga haikupita siku moja dege la air rwanda likashuka kuwabeba kupelekwa kwao. SSH atatibu nina uhakika naye na namuamini.
 
Ni vitu ambavyo vinawezekana sema kwa Nchi zetu ikiwepo hela ya dharula wahusika hawataweza kupata kutokana na ubinafsi uliokuwepo...
Mkuu, unaelewa bajeti ya kuendesha ubalozi mmoja kama wa Tanzania Marekani kiasi gani?

Unaelewa gharama za kodi za majengo, mishahara, bima etc ni kiasi gani?

Na unaelewa kwamba gharama ya kusafirisha maiti ya mtu mmoja inaweza kufikia gharama ya kumsomesha mtu chuo cha bei rahisi?

Twende na namba, mimi nimetaja gharama za kusafirisha mwili kutoka Marekani zinaweza kufika zaidi ya $20,000.

Weka figures zako hapa tuone kama nchi yetu ina uwezo wa kurudisha watu kutoka nje.
 
Uko sahihi watz bara tuna asili ya ubinafsi na chuki za kijinga,hatuns upendo km wazanzibari wengi wetu ni wanafiki sana,tukubali tukatae sisi ni wanafiki na wenye kujiona sana ila si chochote,tubadilike,hiyo inshu imenitokea ktk balozi fulani nje ya nchi,iliniuma sana ila nikagundua unafiki na uongo ndio ngao yetu
Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu.
Taratibu fuatilia

Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania).
Akiwa ndani ya ndege ' Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini Ethiopia ikiwa nio kiwanja cha karibu kwa walipokuwa.

Tukio hili la kumshusha pale ni sehemu ya taibu za ndege inapotiokea dharura. Mgonwa alipelekwa Hospitali na Kufarikiduni muda mchache baada ya kufika hospitali.

Yamkini serikali ya Ethiopia iliarifu ofisi ya Kibalozi ya TANZANIA kwa hatua stahiki.

Wana familia nao tulipopata habari tuliwasiliana na Balozi ili kujua hatua gani zifanywe ili Mwili wa marehemu urejeshwe Nyumbani kwa mazishi. Balozi wa Tanzania alianza kutudanganya na kutupiga danadana eti akidai kuwa hana FUND za kugharamia matukio ya aina hii.

Hatimae ilitubidi wanafamilia tulipishwe Gharama za Hospitali, Kusafirisha mwili na kila kilichohusu kusafirishwa kwa mwili husika.

Mwili ulifika jana tarehe 27/04/2021 kwa ndege ya Cargo ya Ethiopia Air Line

Nilianza kujiuliza NINI FAIDA YA KUWA NA BALOZI NCHINI ETHIOPIA? Lakini mara nikakumbuka kuwa kama Zanzibar ingelikuwa na Ubalozi wake kule tungelipata matokeo tofauti?

Ilishawahi kutokea wanafunzi wa Tanzania walioko nje nchi fulani(siitaji) walipungukiwa na Masurufu ya matumizi, Wale wa Zanzibar wakatumiwa na SMZ fedha za kujikimu na wale wa Bara wakalazimika kurudi au familia zao kutuma fedha.

Nimeyasema haya nikiwa na Uchungu mkubwa wa kuona kuwa MUUNGANO WETU umekuwa kikwazo kwa raia wa Zanzibar .HILI NALO NI MOJA YA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO kwenye mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. We are not treted equaly.

Namuoba Waziri wa mambo ya nje Ahusike na tukio hili la Ethiopia kwani Ubalozi wa TZ haukusaidia lolote kifedha katika jambo hi la Marehemu.

Isije ikatumwa Invoice ya kuonesha kuwa Ubalozi ulitumia fedha,itakuwa ni Upigaji wa fedha za serikali.

Nawakilisha.
 
Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu.
Taratibu fuatilia

Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania).
Akiwa ndani ya ndege ' Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini Ethiopia ikiwa nio kiwanja cha karibu kwa walipokuwa.

Tukio hili la kumshusha pale ni sehemu ya taibu za ndege inapotiokea dharura. Mgonwa alipelekwa Hospitali na Kufarikiduni muda mchache baada ya kufika hospitali.

Yamkini serikali ya Ethiopia iliarifu ofisi ya Kibalozi ya TANZANIA kwa hatua stahiki.

Wana familia nao tulipopata habari tuliwasiliana na Balozi ili kujua hatua gani zifanywe ili Mwili wa marehemu urejeshwe Nyumbani kwa mazishi. Balozi wa Tanzania alianza kutudanganya na kutupiga danadana eti akidai kuwa hana FUND za kugharamia matukio ya aina hii.

Hatimae ilitubidi wanafamilia tulipishwe Gharama za Hospitali, Kusafirisha mwili na kila kilichohusu kusafirishwa kwa mwili husika.

Mwili ulifika jana tarehe 27/04/2021 kwa ndege ya Cargo ya Ethiopia Air Line

Nilianza kujiuliza NINI FAIDA YA KUWA NA BALOZI NCHINI ETHIOPIA? Lakini mara nikakumbuka kuwa kama Zanzibar ingelikuwa na Ubalozi wake kule tungelipata matokeo tofauti?

Ilishawahi kutokea wanafunzi wa Tanzania walioko nje nchi fulani(siitaji) walipungukiwa na Masurufu ya matumizi, Wale wa Zanzibar wakatumiwa na SMZ fedha za kujikimu na wale wa Bara wakalazimika kurudi au familia zao kutuma fedha.

Nimeyasema haya nikiwa na Uchungu mkubwa wa kuona kuwa MUUNGANO WETU umekuwa kikwazo kwa raia wa Zanzibar .HILI NALO NI MOJA YA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO kwenye mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. We are not treted equaly.

Namuoba Waziri wa mambo ya nje Ahusike na tukio hili la Ethiopia kwani Ubalozi wa TZ haukusaidia lolote kifedha katika jambo hi la Marehemu.

Isije ikatumwa Invoice ya kuonesha kuwa Ubalozi ulitumia fedha,itakuwa ni Upigaji wa fedha za serikali.

Nawakilisha.
Pole sana. Ndugu kwa msibaa ila ninkweli kabisa ktk balozi nyingi hasa za nchinmaskin huwaa hakunaga fungu la kumgharamia raia wa nchi yake aliyeko ktk.iyo nchi ya ugeni. Kuna mifano kibao tu ambayo familia ndio zina gharamia either usafiri au gharama yeyote ile. Mfano mdogo tu mwaka jana ktk maimu wa covid 19 kulikuwa na kundi kubwa la wa Tz walionkwama china na india ..pale china watz wenyewe ndio waligharamia usafiri wa ndege. Atcl ikaenda kuwachukua na kuna wwngine walibaki sababu hawakuwa na pesa.
 
Shida yako umeingiza uzanzibari kwenye suala la msiba. Hautuambii nani aliwapa taarifa ya msiba. Unakimbilia kuulaumu ubalozi kuwa ulikuwa unakudanganya na kuwapiga danadana kuwa hawana fungu la kuhudumia matukio kama haya badala ya kuhoji kwa nini serikali haitengi fungu kwa ajili ya dharura kama hizi. Wewe una mbunge wako, mweleze yaliyokupata ili akaibane serikali suala hili. Wao kama walipa taarifa na kuwasaidia mawasiliano na hospitali na shirika la ndege na kutoa makabrasha ya kuwawezesha kumchukua marehemu kutoka Ethiopia kuja nyumbani walimaliza wajibu wao. Ukiona ubalozi unachangia ni watumishi wanachangishana baada ya kuguswa na tukio. Sitashangaa kama mliwatukana kiasi cha kuwavunja moyo wa kuchangishana maana walijua mtasema kuwa ni fedha walizokuwa wanaficha.

Unazungumzia kusafirishwa marehemu kwa Cargo kama vile ni hiyana ya ubalozi wakati maiti zote zinasafirishwa kama cargo.

Wajibu wa kulipa gharama za hospitali na usafirishaji ni za kwenu wanafamilia kama vile inavyokuwa kwa mtanzania ambae ndugu yake amefariki Muhimbili na anataka amsafirishe akamzike Bukoba.

Poleni sana kwa msiba lakini mnatakiwa kuwa waungwana hata katika wakati mgumu kama huo.

Amandla...
 
poleni sana. kwa kifupi ni kwamba, balozi za nje huwa hazina msaada kabisa kwa raia. hata ukiwatembelea pale utakuta wameanza kujikung'uta wanafikiri unataka kuwa mzigo wao. nahisi labda huwa hawana fungu la dharura ya majanga ya raia wao wanapotembelea nchi walipo. bado tuna safari ndefu kidogo. kuna malalamiko mengi sio kwako tu, na kwa wengi toka mikoani kila siku watu wanalalamika kuhusu hili.
 
Watanzania wangapi wanafariki nje ya nchi?

Na kika mtu akitaka ubalozi unsafirishie ndugu yake, ubalozi utaweza?

Kumbuka balozi zimepig8ka tayari, na tunaona watu wanachangishana kika mwezi kusafirisha maiti za ndugu jamaa na marafiki.

Acha kujiona wewe soecial sana kama wewe tu ndiye utahitaji huo msaada.

Kuna familia nyingi sana zitahitaji huo msaada na serikali haina bajeti ya kuweza kusaidia hili.

Changishaneni kama familia, ubalozi unaweza kuwasaidia mawasiliano na kuwa na mtu wa kufuatilia mambo huko. Lqkini hela mnatakiwa kutoa nyie kama familia.

This is the bitter truth.
 
Pole sana. Ndugu kwa msibaa ila ninkweli kabisa ktk balozi nyingi hasa za nchinmaskin huwaa hakunaga fungu la kumgharamia raia wa nchi yake aliyeko ktk.iyo nchi ya ugeni. Kuna mifano kibao tu ambayo familia ndio zina gharamia either usafiri au gharama yeyote ile. Mfano mdogo tu mwaka jana ktk maimu wa covid 19 kulikuwa na kundi kubwa la wa Tz walionkwama china na india ..pale china watz wenyewe ndio waligharamia usafiri wa ndege. Atcl ikaenda kuwachukua na kuna wwngine walibaki sababu hawakuwa na pesa.

Ulitaka serikali ATCL ikawachukue bure? Kama ingeenda China na India bure vipi nchi zingine? So ATCL ingezunguka dunia nzima kubeba raia wa TZ bure sio
 
Hata siku moja ubalozi wa tanzania popote duniani ulipo, haunaga msaada kwa mtanzania ukipata matatizo ndiyo tabia yao.i[o
Ipo siku balozi zitakuwa na msaada, serikali ijipange tu kujali raia wake
 
Mkuu poleni sana kwa msiba wa mpendwa wenu ila sio jukumu la serikali kugharamia taratibu za misiba ugenini. Kazi za ubalozi ni kuhakikisha unapata msaada wa kidiplomasia pale unapohitajika. Huu ni ukweli mchungu.

Kama serikali itaanza kugharamia misiba ya nje haina budi kugharamia misiba ya ndani pia maana watu wa nje si bora zaidi ya walio ndani, if anything, wa ndani wapewe kipaumbele maana tayari wapo nchini.

Kwa mapato gani ya Znz kuendesha balozi zake yenyewe? Hizo balozi zitakosa hata huduma ya simu.

Mwisho, Watu wanashauriwa kuripoti balozini pindi wanapo wasili nchi za nje ila wengi wetu hatufanyi hivyo ila majanga yakitufika tunakuwa wakwanza kuilaumu serikali. Hii sio case yako; ni general case.
 
Huyu Mtanzania alikuwa safarini peke yake, Ethiopia haikuwa destination yake , alishushwa kwa dharura ya kuumwa ghafla na umauti ukamfika huko.Sisi hatuna familia wala jamaa kule.
Kama balozi yupo ,unadhani nanai awajibike kutowa msaada?
kama hawalipi gharama zote , hata kuchangia sehemu ya Gharama ubalozi hauwezi ?
Huyo Ndugu yako alikuwa Mtumishi wa Umma ama?? kama alikuwa Mtumishi was Umma halafu Serikali haikufanya hivyo basi mnatakiwa kuishitaki Serikali.

Ila kama alikuwa RAIA wa kawaida ni juu yenu kugharamia sio gharama za Serikali.
 
Ilishawahi kutokea wanafunzi wa Tanzania walioko nje nchi fulani(siitaji) walipungukiwa na Masurufu ya matumizi, Wale wa Zanzibar wakatumiwa na SMZ fedha za kujikimu na wale wa Bara wakalazimika kurudi au familia zao kutuma fedha.

Nimeyasema haya nikiwa na Uchungu mkubwa wa kuona kuwa MUUNGANO WETU umekuwa kikwazo kwa raia wa Zanzibar .HILI NALO NI MOJA YA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO kwenye mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. We are not treted equaly.
Jambo limetokea karibu kabisa na siku ya muungano huenda litaamsha waliolala wakawajibike
 
Ulitaka serikali ATCL ikawachukue bure? Kama ingeenda China na India bure vipi nchi zingine? So ATCL ingezunguka dunia nzima kubeba raia wa TZ bure sio
Ukisikia kudandia gari kwa mbele ndiko huku ww unachofanya , mm nimejaribu kumpa sababu za kimfano ili mtoa uzi aone ya kwamba balozi huwa hazipo responsible ktk matukio yoyote ya dharura yakimfika raia wa nchi yake . Ningeweza kumpa mifano minginya zaman lkn nikaona nimpe huo wa ATCL ambao ni current
 
Back
Top Bottom