Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Kenya iko kwenye section 66 of the constitution of kenya. Nashangaa Tanzania ugumu uko wapi ni maana malumbano hayataisha.
 
kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. s. Africa
2. kenya
3. zanzibar
4. uganda
5. gambia
6. nigeria
7. india nk.
lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na serikali zao. Kwa nini isiwe tanzania?

hamia huko
 
Hawa tume sijawaelewa kwani hawajaweka mambo ya msingi wazi:-
a. Ukiwa na serikali 3 je hizo mbili zitakuwa na dola au zitakuwa kama serikali za maeneo lakini dola inabakia moja?
b. Je zikiwa serikali 3 maswala ya sarafu, benki, na mahusiano ya kimataifa yanakuwaje?
c. Je hizi serikali zitakagharamiwa na nani? Isije kuwa kodi ya mtanganyika ndio inahudumia Zanzibar au kodi ya mzanzibari inakwenda kuhudumia Tanganyika.

Na mengineyo mengi mfano mgombea binafsi inaruhusiwa? Je mahusiano ya serikali na taasisi za kidini je yamefutwa? Kama tunaamua kuwa secular government tuwe secular 100% kama religious government iwe religious 100% hatutaki unafiki.

Mkuu hata kama hatujasoma rasmu lakini imeshajadiliwa na ni wazi kwamba dola ni moja, sarafu moja, mambo ya nje moja na zipo chini ya muungano. mgombea binafsi yupo pia. hilo la gharama labda lakusubili hiyo rasimu
 
Sasa huyu kimbelembele ZZK kahudhuria km nani? Manake CDM imewakilishwa na Tundu Lissu.
 
Mlopewa dhamana, muisaidie kwa nchi yenu kwa kuivusha salama kwenye hili.
 
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?

Hamia Huko
 
Amemponda live na kusema ni mwanasheria machachari ambaye muda mwingine anawachangaya wenzake. Source: nipo mkutanoni.

umenichanga hapo. Umesema amemponda na hapo hapo amemsifia ni mwanasheria mashuhuri. Inakuwaje hapo?
 
Rais amewapasha akina Wasira, Werema, Chikawe, Lukuvi na wenzake wanaopinga mchakato huu wa kupata Katiba tunayoihitaji. Amesema hadharani siri aliyokwishawaambia, waache kugomea maoni mazuri ya watanzania kutaka serikali tatu. Amesema wakienda na itikadi zao za umaarufu wa ccm watarudi bila katiba, wajijua wenyewe....hahahahaaa....Asante sana JK
 
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?

Nenda kaishi kwenye nchi hizo
 
Mkuu hata kama hatujasoma rasmu lakini imeshajadiliwa na ni wazi kwamba dola ni moja, sarafu moja, mambo ya nje moja na zipo chini ya muungano. mgombea binafsi yupo pia. hilo la gharama labda lakusubili hiyo rasimu

Kwenye rasimu ya kwanza hawakuzungumzia mfumo wa serikali tatu utakuwaje ila walisema kutakuwa na serikali tatu zenye mamlaka. Na pia zitakuwa na vikosi vyao vya ulinzi na jeshi na mahakama zao. Sasa kuna tofauti baina ya serikali na dola ikiwa tutakuja kuwa na dola mbili tofauti na serikali mbili tofauti zenye mamlaka kidola ni wazi MUUNGANO HAUPO TENA. KWA MAANA NYENGINE TUNAVUNJA MUUNGANO. Tukubali tu kugawana mbao kila mmoja aishie.

Vile vile tukiangalia rasimu ya kwanza swala la gharama za uendeshaji wa serikali halikuwamo ndio maana nikauliza vp tusije kuambiwa Tanganyika itakuwa inahudumia serikali ya muungano na Zanzibar ni ndugu zetu uwepo wao tu unatosha. Au tukaambiwa Zanzibar watagharimia sawa na Tanganyika wakati Tanganyika ina eneo kubwa la eneo. Haya mambo yawekwe wazi.
 
Kwa maelezo ya Kikwete, Bunge la Katiba lina uwezo wa kuyatupilia mbali maoni ya Mzee Warioba.
Kwa kauli yake anakuwa Kama anatoa vitisho kuwa Kama atutakubaliana na ccm basi itabidi katiba ya zamani iendele kutumika
Ccm wako name ajenda zao lakini sisi wananchi tunataka katiba Mpya ambayo wananchi wametoa maoni yao juu ya kitu wanacho kit aka
 
Back
Top Bottom