ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,335
Anasoma sana ila wahuni wa chadema na gongo yao ndio wanamuudhi sanaKumbe JK anasoma mitandao... bila shaka JF ipo kwenye list
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasoma sana ila wahuni wa chadema na gongo yao ndio wanamuudhi sanaKumbe JK anasoma mitandao... bila shaka JF ipo kwenye list
Kenya iko kwenye section 66 of the constitution of kenya. Nashangaa Tanzania ugumu uko wapi ni maana malumbano hayataisha.Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. s. Africa
2. kenya
3. zanzibar
4. uganda
5. gambia
6. nigeria
7. india nk.
lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na serikali zao. Kwa nini isiwe tanzania?
Hawa tume sijawaelewa kwani hawajaweka mambo ya msingi wazi:-
a. Ukiwa na serikali 3 je hizo mbili zitakuwa na dola au zitakuwa kama serikali za maeneo lakini dola inabakia moja?
b. Je zikiwa serikali 3 maswala ya sarafu, benki, na mahusiano ya kimataifa yanakuwaje?
c. Je hizi serikali zitakagharamiwa na nani? Isije kuwa kodi ya mtanganyika ndio inahudumia Zanzibar au kodi ya mzanzibari inakwenda kuhudumia Tanganyika.
Na mengineyo mengi mfano mgombea binafsi inaruhusiwa? Je mahusiano ya serikali na taasisi za kidini je yamefutwa? Kama tunaamua kuwa secular government tuwe secular 100% kama religious government iwe religious 100% hatutaki unafiki.
Piga ua garagaza. Muundo ni serikali mbili
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Amemponda live na kusema ni mwanasheria machachari ambaye muda mwingine anawachangaya wenzake. Source: nipo mkutanoni.
Hivi JK bila kumtaja Tundu Lissu hajisikii?
Bunge la Katiba lina uwezo wa kubadili kila kitu kwenye rasimu(DRAFT) constitutional.
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Mkuu hata kama hatujasoma rasmu lakini imeshajadiliwa na ni wazi kwamba dola ni moja, sarafu moja, mambo ya nje moja na zipo chini ya muungano. mgombea binafsi yupo pia. hilo la gharama labda lakusubili hiyo rasimu
Kwa kauli yake anakuwa Kama anatoa vitisho kuwa Kama atutakubaliana na ccm basi itabidi katiba ya zamani iendele kutumikaKwa maelezo ya Kikwete, Bunge la Katiba lina uwezo wa kuyatupilia mbali maoni ya Mzee Warioba.
Hiyo dhambi ya kuiua Tanganyika kaifanyeni nyinyi CCM, ila mjue tutaikataa hiyo katiba isiyokuwa na Tanganyika.