Hamia Huko
Kwani waislamu si watanzania? Kwanini wewe usihamie huko sisi tukapewa mahakama yetu ya kadhi na tukabakia na wenzio wenye kukubali uwepo wa mahakama ya kadhi. KWANINI UNA UDINI HIVI WEWE NDUGU!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia Huko
Kenya iko kwenye section 66 of the constitution of kenya. Nashangaa Tanzania ugumu uko wapi ni maana malumbano hayataisha.
Tunataka serikali moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar iingizwe kwenye serikali ya Muungano na kutulia.
Sasa huyu kimbelembele ZZK kahudhuria km nani? Manake CDM imewakilishwa na Tundu Lissu.
Tunataka serikali moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar iingizwe kwenye serikali ya Muungano na kutulia.
Bado tuna safari ndefu kuelekea Tanzania yenye amani
Hata mie nakuunga mkono,
Wazo la mwanakijiji nililifikiria sana na nimelifanyia utafiti mwingi nikagundua solution hapa ni Serikali moja tu. Serikali 3 kuna watu wana ajenda zao tu hakuna jengine!!!
Nakubaliana na Mzee mwenzangu Mwanakijiji solution hapa ni Serikali moja hakuna jengine.
kama hoja yako ni umoja, kwanini tusiwe na serikali moja kabisa?Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu
CCM haiwezi kuanguka chali isiwpokuwa CDM ndiyo chali, kwani yote waliyokuwa wakiyadai ovyo ovyo yalitupiliwa mbali baada ya wao kwenda wenyewe CDM kunywa "chai" Ikulu.
Watz wooote tunajivunia kuwa na rais wa aina ya kikwete
kwa mawazo yako sawa, ila warioba kasema wengi waliohojiwa wataka 3 bila
zanzibar hawatakubali,tena wao wanatamani wawe taifahuru lenye kiti UN.Tunataka serikali moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar iingizwe kwenye serikali ya Muungano na kutulia.
Fafanua Mkuu.poooleeee
zanzibar hawatakubali,tena wao wanatamani wawe taifahuru lenye kiti UN.
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
zanzibar hawatakubali,tena wao wanatamani wawe taifahuru lenye kiti UN.