Tukio la Shadrack linatoa ujumbe mkubwa sana kwa Rais Samia na Mahakama

Sema mkuu jua kuwa yule ni mnyama hana utashi..
Ndio maana hakuna usawa mda wa sheria
 
Hiyo haikuwa picha ya Rais...

Huo ulikuwa ni mchoro wa picha ya mtu anayefanana fanana na mwanamke mmoja anayejulikana kama Samia Suluhu Hassan...

Kwa kifupi sana ni kuwa, hatuna Rais Tanganyika bali tuna kinyago cha mwanamke tu kipo pale ikulu yetu...!

She has to go kwao Zanzibar...❗
 
Sema mkuu jua kuwa yule ni mnyama hana utashi..
Ndio maana hakuna usawa mda wa sheria
Najua yote hayo.Tanzania tuna mapori ya akiba makubwa na mbuga nyingi ambazo hatuwezi kudhibiti movement ya wanyama hatarishi.
Kimantiki hili ni jukumu lao,sio swala la utashi Wala uhayawani wa wanyama.
Askari wanyama pori wawe wa kutosha,Tembo wavunwe inapobidi,Ulinzi kwa maeneo yaliyopakana na hifadhi uwe wa kudumu.
Huku kwetu,mko jirani na Selous(Nyerere NP) akionekana Tembo mtaani anasumbua mpaka muwapigie askari waje!
Maeneo kama hayo lazima kuwe na station ya askari wanyapori.
Vingenevyo itakuwa tunaleta siasa kwenye Maisha ya watu.
 
Kama mi kiazi usinge reply kwenye Uzi wa Kiazi inaonyesha kias gani uzi wangu umekugusa na hilo ndilo lilikua lengo langu
 
Hapo nimekupata mkuu...
Umeongea vyema kabisa bila kuegemea upande wowote.

Ni kweli hawa TANAPA waongeze askali tuu au ikiwezekana wajue wanatusaidia vipi..

Japo hoja zao kubwa watasema ni wananchi huku wamejenga kwenye hifadhi
 
2. Rais Samia hahusiki na tukio hilo la shadrack Chaula bali ni Serikali ya Mkoa wa Mbeya

3. Hakufungwa kwa kuchoma picha bali kwa ku publish habari za uwongo kuwa Rais Samia hashighuliki kukemea ushoga
Hujui lolote wewe...

Eti serikali ya Mbeya...

Kwani huyo RC - Mbeya, nani kamweka pale? Amepigiwa kura na wana Mbeya?

Aliyemweka huko ni Samia Suluhu Hassan na kwa hiyo chochote anachofanya ni kwa ajili ya kumfurahisha aliyemteua...!

=========================================================

Eti unasema alihukumiwa kwa sababu ya kosa gani? Kwa kuchapisha habari za uongo kuwa "Rais Samia hajishughulishi na kukumea ushoga....?"

Hivi maoni binafsi aonavyo yeye juu ya Rais wake yanawezaje kuwa kosa la kumhukumu mtu kufungwa jela?

Kilichopaswa kufanyika ni yule anayeshutumiwa kuwa hafanyi kitu kujitokeza na kusema nafanya na hatua nilizochukua kushughulikia hilo ni 1, 2, 3

Sasa aliyeambiwa yuko kimya halafu hakimu naye kwa ujinga kabisa wa kutojua sheria anaona hilo ni kosa na kumtesa mtu...!!!??
 
Hapo nimekupata mkuu...
Umeongea vyema kabisa bila kuegemea upande wowote.

Ni kweli hawa TANAPA waongeze askali tuu au ikiwezekana wajue wanatusaidia vipi..

Japo hoja zao kubwa watasema ni wananchi huku wamejenga kwenye hifadhi
Najua Niko sahihi,Babu zangu wameishi Jirani na hifadhi kwa miaka mingi.Nayajua madhila Yao Tembo,nimeyaishi.
 
Ni doa sana kwa mfungwa katika maisha yake. Kifupi ameteza sifa za kuwa kiongozi. Hawezi kuwa mtumishi wa umma ktk maisha yake. Ningewaona mna akili zaidi ya nyumbu kama mngekata rufaa na kushinda.
Vinginevyo,..........!
 
Mahakama haikutenda haki imeendesha kesi kimihemuko.
Ndio maana imekatwa rufaa mahakama kuu kupinga hiyo hukumu ya kipumbavu.
Pili sio bibi chura ndio hapendwi, bali ni wananchi wamechukia uongozi kuna bomu kunachemka katika hii nchi viongozi wamejisahau wanajifanya miungu watu.
Hii move yote inaonyesha rais hapendwi wananchi walio wengi.
Yaani hata ikitengenezwa clip bibi chura anasodomiziwa watu hawatakasirika tofauti na alivyofanyiwa JK raia walikasirika ika huyu mama watu watafurahia
 
Kwa nini mnapenda kufanya generalization!!.Hii Nchi ni kubwa sana,na Ina watu wengi.
Yaani tukio la mtu mmoja linadhihirisha Msimamo wa Raia Milioni 62?
Acha utani wewe,Uongozi umechokwa umefanya nini hicho Cha kuchosha watu Milioni 62?
Kuna wakati mjaribu kufikiria kwa Uhuru,msiendeshwe na propaganda za wanasiasa.
JK mlikuwa mnampenda tokea lini ninyi,Mzee wa watu mlimsimanga mpaka mkamaliza maneno.
Jiwe alivyoanza kuwanyoosha ndio mlikumbuka mema yake.
Narudia hakuna Utawala unaopendwa,Wala Mamlaka inayopendwa popote pale Duniani.
Na wanasiasa waliokomaa wanajua hilo na haliwababaishi.
Samia sio Pombe,mnafanya vitu vya ajabu Ili areact negative mpate Cha kusema!
Kashawajua mna kisharwara,ndio maana yupo kimya.
 
Wewe pimbi nenda kwanza ukapate chakula cha mchana maana hujui hata unachoandika.
 
Yaani usipomenda wewe na wanao huko sweken Tandahimba au Makongorosi unaona ndiyo Watanzania wote?

Weka makalio yako kwa utulivu maana Samia mpaka 2030
 
Kama njia zipi ikiwa yeye anajiita kiziwi?
wanaomdhihaki na kumkejeli ndio anakuwa kiziwi ila shida za wananchi anafuatilia na kutatua, hadi issue za mitandao ya kijamii anafuatilia na kutolea maelezo, hata mzazi wako nyumbani anakosea ila kuna njia ya kufikisha ujumbe
 
C
Chaula sio mnyakyusa ni Mkinga au Mbena, Tukuyu ni metropolitan district
 
Bora angesema ewe picha nimekuchora mwenyewe kwa hiari pasipo dhihaka nakuchoma mimi mwenyewe kwa hiari pasipo dhihaka yoyote ile.
 
wanaomdhihaki na kumkejeli ndio anakuwa kiziwi ila shida za wananchi anafuatilia na kutatua, hadi issue za mitandao ya kijamii anafuatilia na kutolea maelezo, hata mzazi wako nyumbani anakosea ila kuna njia ya kufikisha ujumbe
Angekuwa hivyo unavyomueleza kusingekuwa na hata wa kuchoma picha yake wewe unaongea kinyume chake, labda nikuulize kitu. Tunajua hakuna mtu mkamilifu na mwenye kuwaridhisha watu wote ila kwa unavyoelewa wewe ni mambo yapi ambayo wananchi huku mitaani hulalamika sana kuhusu rais Samia?

Rais Samia ni kiongozi ambaye anaamini watanzania ni watu wa kupiga tu kelele muda fulani ukipita wanasahau, hili aliliweka wazi kabisa mwenyewe. Na ndivyo anavyoenda na wananchi wake sasa ukiniambia kwamba anasikiliza kero na kuzifanyia kazi unanishangaza nachojua huishia kusema "hili mkaliangalie" hapo amemaliza yeye.
 
Je unajuwa nani katowa hizo pesa?
Inawezekana ikulu imetowa pesa.
Sie waisilamu mtume wetu alitukanwa sana wakati wa zamazake, lakini alikuwa anawasamwhe wate wanafanfanya hivyo na kuwatuliza watu wake wasi chukuwe hatuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…