Tukio limejirudia tena katika mazingira yaleyale, nikiwa na watu walewale huku tukizungumza maneno yaleyale

Maana yake nini mkuu? Kwamba nafsi zinazorejeshwa ni chache? Na je, siku ya hukumu, nafsi yangu hii pendwa itahukumiwa kwa niaba ya makosa ya mwili upi? Mara mia ihukumiwe kwa reference ya mwili ule, huu wa sasa unagegedana sana
Mambo ya hukumu ni story za kitoto tu mkuu ukipandacho ndicho utavuna ( karma) mengne nipige kimya tu.
 
Other says our bodies baried somewhere so we live ni matrix.

other says that is a prove that time was never real and will never be real in 3D.

Other says if you experience dejavu your in a right pass of your life(game) and many more
 
Hilo ni tatizo la akili ( psychiatric problem) inaweza kuwa ni

Dejavu au Jamais vu
Tatizo la akili kivipi mkuu? Kwamba akili yangu haiko sawa? Na hiyo Jamais Vu ndo nini?
 
Hii kuna mawili either kuna mtu alikufa umechukua soul yake au roho zetu zinakuwaga mbele zimeshachora script a maisha sisi tunafuta tu mchoro
Kwamba siku nikifa tena, kuna mtoto atazaliwa na nafsi yangu?
 
S
We're only limited by our imagination... Hayo unayoyaona yanatokea sasa ulikwisha yaona kabla hayajatokea, kuna mengi mazuri na mabaya utayaona kama ukiamua kuyaona..
Sihitaji kuyaona mkuu, nifanye nini kuzuia hii hali. Nahitaji kuwa sawa na wengine mkuu
 
Ni De ja vu, ila maelezo ni kwamba taarifa huwa zinagawanyika enroute kwenda kwenye ubongo, na kuna ambayo ni replica ya mwenzake inayowahi just a split second na kuhifadhiwa.., hivyo ile replica inayochelewa ikifika na kusomea ndio Inaonekana kama marudio
 
Aiku moja natoka dodoma kwenda singida 2003 nimefunga shule,nipo kwenye treni ,ile tumefika salanda kwaajili ua kupata chakula nikamuona jamaa anafanana na mimi kila kitu,mpaka ngui alizo vaa yaani,nikabaki namshangaa nayeye ananishangaa,hakuwa naoesa ya chakula akanifuata akaniomba nimnunulie chakula,nikafanya hivyo,baadaye sikumuona tena na wala hakushuka popote mpaka wa leo sijapata jibu
 
 
niliodhani ni mimi peke yangu ilishanotokea mara kibao sana nikawa naona hata kumuuliza mtu anaweza sema naanza kuchanganyikiwa kumbe na kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…