Nakumbuka jana Mshana jr, alilizungumzia hili kama nishati, ambayo haipotei hata mtu akifa!Hyo inaitwa "DEJAVU"
kimsingi sisi binadamu tuna nafsi ambazo zishawahi kuishi kabla hatujapewa hii miili. Kwa hyo mfano ww unaweza kuta mwili wako una nafsi ambayo hapo kabla ishawahi kuishi hayo maeneo unayopitia,, then yule alokuwa anamiliki hyo nafsi akafa, then hyo nafsi ikawekwa kwny mwili wako afu ndo ukazaliwa wewe wa saizi.
Hayo ni mwmbo fikirishi sanaHii inatokea sana,kuna muda unabaki unashangaa yani kitu kama kimejirudia vile,piq kuna ile unaota upo sehemu fulani,kuna siku ukifika hilo eneo ile ndoto unaikumbuka na eneo husika unaliona live.
Anyway tuishi tu hiizi siri kubwa ambazo ni ngumu kuzijua,hivi ulikua wapi kabla hujazaliwa na unaenda wapi baada ya kufa?
Mi ndo nikiota ni for the future event....nilichoota mwez huu nitakuja fanya mwez mwingine...then nakumbuka kuwa hii kitu nishawahi otaMsaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka...
Somehow..!Hayo ni majini hayo muda mwingine yanakuongoza vizuri mm zamani yalikuwa yananisaidia mfano naweza sema nikipita mtaa huu nikipita nitaokota hela na kweli naokota hela katika Maisha imenitokea kama mara tatu sehemu ile ile niliyokuwa naiwaza nikiwa mdogo ila siku hizi huu upako sina [emoji16][emoji16]
Sio lazma uishi maisha aliyoishi yeye lakn kuna baadhi ya matukio yata collide. Mfano unaenda sehemu ngeni unakuta kama vile ushawahi kufika lakn hujawahi kufika. Hii ni kwa sabab mwili wako haujawahi kufika ila nafsi yako ishawahi kufika ikiwa kwny mwili mwngne kabla haijawekwa kwny mwili wako.Mkuu, kwa maana hiyo, kumbe baada ya binadamu kufa, nafsi zetu haziendi mbinguni wala motoni, badala yake hutunzwa kwa ajili ya binadamu watakaozaliwa?
Maana yake maisha nitakayoyaishi yatafanana na yale ya aliyekuwepo enzi hizo? Hata na kifo alichokufa ndicho ambacho na mimi nitakufa? Hata umri alioishi?
Mkuu unaamini katika Deja Vu?Hiyo ndiyo ukisikia "deja vu".
Punguza wenge wewe au kapime malaria.Msaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka
Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo lile lile, pia mtu unayezungumza naye ni yule yule au mtu anayeendana hobies na uliyozungumza naye mwanzoni
Au unapita mahali unakutana na tukio amabalo umewahi kukutana nalo kabla. Hata majibizano ya watu yanayoendelea ni yaleyale ya kipindi hicho. Unapojaribu kufungua mdomo kuzungumza, unajikuta unazungumza yale yale uliyowahi kuzungumza. Unabaki unashangaa tu
Hii hali husababishwa na nini wakuu?
Je, tukio la kwanza kabla, lilikuwa ni ndoto? Au liliwahi tokea kweli? Au ni mawenge tu? Au naumwa malaria? Maake sielewi hata limekuja vipi, yaani from nowhere
Nikijaribu kumuuliza huyo ninayezungumza naye kwamba haoni kama tunafanya marudio?, anaishia kusema nipunguze wenge au kucheka tu
Naombeni ufafanuzi wakuu
N.B: Situmii mihadarati
Yes, but not necessarily akazaliwa bongo,, anaweza zaliwa hata russia au koreaSo kuna mtu atazaliwa na ile Nafsi ya Magufuli?
Mradi huo haukuwepo bongo ila sio duniani.What if napata dejavu nikiwa kwenye basi la mwendo kasi, mradi ulioanza kufanya lazi awamu ya tano 2015-2021. Na mimi nikiwa nimezaliwa miaka ya 70. Hapa huoni kama tafsiri yako inagoma. Ikiwa inamaana miaka nyuma ya 70 mradi uwo haukuwepo.
Learning....Kama ukiamua kuyaona,how??
Absolutely true.Hyo inaitwa "DEJAVU".
kimsingi sisi binadamu tuna nafsi ambazo zishawahi kuishi kabla hatujapewa hii miili. Kwa hyo mfano ww unaweza kuta mwili wako una nafsi ambayo hapo kabla ishawahi kuishi hayo maeneo unayopitia, then yule alokuwa anamiliki hyo nafsi akafa, then hyo nafsi ikawekwa kwny mwili wako afu ndo ukazaliwa wewe wa saizi.
Interpret kidogo mkuu.Hilo ni tatizo la akili ( psychiatric problem) inaweza kuwa ni
Dejavu au Jamais vu
Kuna Mwl wangu aliwahi kufundisha hii kitu 🙏Hyo inaitwa "DEJAVU".
kimsingi sisi binadamu tuna nafsi ambazo zishawahi kuishi kabla hatujapewa hii miili. Kwa hyo mfano ww unaweza kuta mwili wako una nafsi ambayo hapo kabla ishawahi kuishi hayo maeneo unayopitia, then yule alokuwa anamiliki hyo nafsi akafa, then hyo nafsi ikawekwa kwny mwili wako afu ndo ukazaliwa wewe wa saizi.
Kwaiyo magomeni mapipa na uko dunia ipo?Mradi huo haukuwepo bongo ila sio duniani.