Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
👏👏👏Uko sahihi bi mkubwaHiyo ndiyo ukisikia "deja vu".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👏👏👏Uko sahihi bi mkubwaHiyo ndiyo ukisikia "deja vu".
Bibi una madini hatareeeHiyo ndiyo ukisikia "deja vu".
Ishantokea sanaMsaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka
Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo lile lile, pia mtu unayezungumza naye ni yule yule au mtu anayeendana hobies na uliyozungumza naye mwanzoni
Au unapita mahali unakutana na tukio amabalo umewahi kukutana nalo kabla. Hata majibizano ya watu yanayoendelea ni yaleyale ya kipindi hicho. Unapojaribu kufungua mdomo kuzungumza, unajikuta unazungumza yale yale uliyowahi kuzungumza. Unabaki unashangaa tu
Hii hali husababishwa na nini wakuu?
Je, tukio la kwanza kabla, lilikuwa ni ndoto? Au liliwahi tokea kweli? Au ni mawenge tu? Au naumwa malaria? Maake sielewi hata limekuja vipi, yaani from nowhere
Nikijaribu kumuuliza huyo ninayezungumza naye kwamba haoni kama tunafanya marudio?, anaishia kusema nipunguze wenge au kucheka tu
Naombeni ufafanuzi wakuu
N.B: Situmii mihadarati
Nafsi zetu huwa zinaacha mwili tunapata nafasi ya kupumzika (sinzia). Hivyo zinapokuwa kuwa hoko mtaani zinazurura hukutana na nafsi za watu wengine na kufanya mawasiliano kama tufanyavyo tukiwa hatujapumzika.Mkuu, kwa maana hiyo, kumbe baada ya binadamu kufa, nafsi zetu haziendi mbinguni wala motoni, badala yake hutunzwa kwa ajili ya binadamu watakaozaliwa?
Maana yake maisha nitakayoyaishi yatafanana na yale ya aliyekuwepo enzi hizo? Hata na kifo alichokufa ndicho ambacho na mimi nitakufa? Hata umri alioishi?
Maisha ni ndoto tu,, ukweli ni kuwa hata wewe si halisi,, ni ndoto tu😂Msaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka
Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo lile lile, pia mtu unayezungumza naye ni yule yule au mtu anayeendana hobies na uliyozungumza naye mwanzoni
Au unapita mahali unakutana na tukio amabalo umewahi kukutana nalo kabla. Hata majibizano ya watu yanayoendelea ni yaleyale ya kipindi hicho. Unapojaribu kufungua mdomo kuzungumza, unajikuta unazungumza yale yale uliyowahi kuzungumza. Unabaki unashangaa tu
Hii hali husababishwa na nini wakuu?
Je, tukio la kwanza kabla, lilikuwa ni ndoto? Au liliwahi tokea kweli? Au ni mawenge tu? Au naumwa malaria? Maake sielewi hata limekuja vipi, yaani from nowhere
Nikijaribu kumuuliza huyo ninayezungumza naye kwamba haoni kama tunafanya marudio?, anaishia kusema nipunguze wenge au kucheka tu
Naombeni ufafanuzi wakuu
N.B: Situmii mihadarati
kuna dunia nyingine kuna watu kama sisi wanaishiMkuu, alimaanisha nini kusema multiverse theory?
Acha uongoHyo inaitwa "DEJAVU".
kimsingi sisi binadamu tuna nafsi ambazo zishawahi kuishi kabla hatujapewa hii miili. Kwa hyo mfano ww unaweza kuta mwili wako una nafsi ambayo hapo kabla ishawahi kuishi hayo maeneo unayopitia, then yule alokuwa anamiliki hyo nafsi akafa, then hyo nafsi ikawekwa kwny mwili wako afu ndo ukazaliwa wewe wa saizi.
Mie inanitokea sana tuMsaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka
Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo lile lile, pia mtu unayezungumza naye ni yule yule au mtu anayeendana hobies na uliyozungumza naye mwanzoni
Au unapita mahali unakutana na tukio amabalo umewahi kukutana nalo kabla. Hata majibizano ya watu yanayoendelea ni yaleyale ya kipindi hicho. Unapojaribu kufungua mdomo kuzungumza, unajikuta unazungumza yale yale uliyowahi kuzungumza. Unabaki unashangaa tu
Hii hali husababishwa na nini wakuu?
Je, tukio la kwanza kabla, lilikuwa ni ndoto? Au liliwahi tokea kweli? Au ni mawenge tu? Au naumwa malaria? Maake sielewi hata limekuja vipi, yaani from nowhere
Nikijaribu kumuuliza huyo ninayezungumza naye kwamba haoni kama tunafanya marudio?, anaishia kusema nipunguze wenge au kucheka tu
Naombeni ufafanuzi wakuu
N.B: Situmii mihadarati
Fafanua mzee kidogo umeniacha ....how mtu ataingia katikati ya mlima , pili kuna uhusiano gani kati ya nafsi na mlima ...kama hutojali tupe madini zaidiNAONA una shida kidogo kwenye muungano wa roho yako na mwili wako, io hali inapelekea mwili wako kupata dodoso za mambo ya Rohoni na haikupaswa iwe hivyo.
Sasa ili kuepukana na tabia hiyo inayofanywa na mwili wako itabidi utafutee mlima mkubwa sana afu utafute kitako chake, ukae hapo chini siku tatu au ila itakuwa vizuri kama ukaingia katikati kabisa ya mlima huo. Kani ya uvutano itaziunganisha vizuri roho n mwili wako.
Asante.
Acha uoga, mambo ya kawaida hayo.
Utandawazi, elimu& dini ndivyo vimetutenganisha na Asili ya kuujua UTU wetu, rudini kwenye asili yenu mtayajua mambo ambayo hamjawai kuyajua.
Haya maisha tunayoishi kimsingi yalishapita, iko hivi Mtu anaundwa na vitu3, (1) Roho, (2)Nafsi, (3)Mwili&akili za kimwili(ufahamu), na kila muundo hapo unaishi ktk ulimwengu wake.
Roho inaishi rohoni, nafsi inaishi ulimwengu wa nafsi, na mwisho ni mwili wenye ufahamu wa kimwili ktk ulimwengu wa mwili.
Ktk ulimwengu wa Roho huko hakuna nadharia ya Muda wala wakati, na kila jambo lifanyikalo huko hufanyika kwa tafsiri ya muda tuseme linafanyika kwa muda mfupi sana sawa na sekunde, ambapo muda huo ama tukio hilo ili litafsiliwe kimwili na liakisi uhalisia wa ufaham wa dunia ya mwili, tutautumia Muda(wakati) ili kufafanua tukio hilo, na muda unaweza kuwa mrefu kulingana na tukio lililofanyika rohoni.
Unatakiwa ujuwe kuwa matukio yanaanzia rohoni na kumalizilia mwilin ambako ndiko kuna mahesabu ya muda na matendo ya mwili, na ili tuyakamilishe matendo yaliyotendwa na Roho nilazima tutumie kanuni za Muda ambapo rohon hakuna muda, hakuna siku wala mwaka, huko kunahesabika ktk nyakati za "SASA" ambapo kidunia tuna nyakati "3" kama nyakati za sasa, zilizopita na zijazo, lkn rohoni kuna "Sasa" yaan tukio likifanyika rohon litajireflect mwilin kimuda.
Hivyo haya maisha tunayoishi yalishapita tupo ktk nadharia ambazo kiroho tunazitafsiri kama "PAST", roho zetu zilishayaish haya maisha na zinayareflect matukio kutoka Nyakati zao kurudi "PAST" ilipo miili,
Kiufupi Roho yako inaishi ulimwengu wa FUTURE ambao kila jambo limeshatendeka na Mwili wako unaishi Past, hivyo ni kawaida kuliona tukio na kukumbuka kama ulishalifanya, ni roho yako inapitisha kumbukumbu zake kuziingiza ktk nafsi na baadae zinakujia ktk Ufahamu wako, ndiomaana mchakato huu usababisha watu kutoelewa maana ya matukio ama kusahau.
Kuna namna nyingi za kuyaona matukio ambayo yalishafanyika na roho kwa kupitia Ndoto, maono na uhalisia unapoliface tukio.
Haya mambo wanayajua washirikina, wachawi, na watu wa sayansi wanaopambana na TIME TRAVEL, hii sio uchawi bali ni jambo la kawaida,
Tumepumbazwa na Elimu uchwara inayotufumba ufahamu wetu tusiyajue mambo muhimu kama haya kwa kutupandikiza mambo ya kijinga jinga na maarifa ya kishenzi huko mashuleni.
Kuna mengi sana ya kujifunza basi tu Ubishi wa watu kujifunza acha yabaki kuwa maarifa ya watu wachache, wengine mtaishia kubisha na kudhihaki.
Hii kitu ipo mkuu ata vitabu vyenu vya dini vimezungumzia sehemu nyingi tu, kuamka sio kwa kila mtu.View attachment 2543066View attachment 2543067
Ndugu tuoe elimu basi tunaoipe da na sisi tunufaikeUmemaliza so roho ni uhalisia wa maisha yetu na tunaona future yetu
Ndugu tuoe elimu basi tunaoipe da na sisi tunufaike
Ndyo, kinachotuchanganya tunashindwa kuelewa haya mambo sababu ya ukosefu wa elimu kuhusu haya mamboUmemaliza so roho ni uhalisia wa maisha yetu na tunaona future yetu
Aiku moja natoka dodoma kwenda singida 2003 nimefunga shule,nipo kwenye treni ,ile tumefika salanda kwaajili ua kupata chakula nikamuona jamaa anafanana na mimi kila kitu,mpaka ngui alizo vaa yaani,nikabaki namshangaa nayeye ananishangaa,hakuwa naoesa ya chakula akanifuata akaniomba nimnunulie chakula,nikafanya hivyo,baadaye sikumuona tena na wala hakushuka popote mpaka wa leo sijapata jibu
Ndio bila shakaEeeh Elia alirudi duniani kama Yohana mbatizaji
Haya mambo [emoji119]