Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfumo wa zamani wa kikoloni ni kutengewa chakula peke yako ndio maana hayo yanakukuta. Ipo siku utawekewa sumu. Kula pamoja na familia yako mezani au na mkeo.Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje,yani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja.hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu,nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Mkuu,Watoto wanayahitaji hayo mapaja ya kuku kuliko wewe, si wanakua?
Wewe si utakula tu huko mtaani...
Wala hata sio jambo la uanaume wala nini, ni utu tu
Si umeona mkeo japokuwa hajakutengea kawapa watoto na sio kula yeye? Unadhani kawaza nini?
Legeza bwana😅
Ulitakiwa upewe makanyagio.Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje,yani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja.hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu,nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Uanaume ni kula vipapatio na makanyagioWatoto wanayahitaji hayo mapaja ya kuku kuliko wewe, si wanakua?
Wewe si utakula tu huko mtaani...
Wala hata sio jambo la uanaume wala nini, ni utu tu
Si umeona mkeo japokuwa hajakutengea kawapa watoto na sio kula yeye? Unadhani kawaza nini?
Legeza bwana😅
Nilitaka kujua tu kama kuku ana manyonyo kama hana basi sawa.Hii lugha ya watu ilikuja na meli
Sio kila kitu unakitafsiri unavyotaka
Km hujui chicken breast we kwenye kuku unakulaga shingo tu au?
🚮🚮Jikaze baba wewe,Wanaume tumeumbwa mateso.
Mimi mara nyingi Huwa nagombana na Mke Kwa kunirundikia vyakula ambavyo Huwa naona naleta Kwa Ajili ya Watoto.Kwa mama mwenye kujielewa atahakikisha mumewe ambae ndie mtafutaji anakula vzr kwanza.
Pia kwa baba anaejielewa atahakikisha watoto wake wanakula vzr.
Yaani baba ataletewa chakula kingi na kizuri, halafu baba mwenye busara atauliza kama watoto wameshiba au atawaita wale pamoja bila kujali walikula kabla au la. Labda hadhi ya mkeo ni kubwa kuliko ya kwako na anaishusha kwa watoto wake kwanza kabla ya wewe mwenye hadhi ya chini kbs! Ni kwann!? Je unawapelekaga watoto nyumbani kwenu? Mkeo anapenda?
Kwa kawaida mama anatakiwa atoe nafasi ya mapenzi ya baba kwa wanawe kwa kukugawia wewe vingi na wewe kugawia watoto.. kama mwanaume afanyavo humpa mwanamke na mke huwapa watoto.
Hicho kipapatio kula pamoja na wanao bila kujali walikula mapaja au la! Kesho atakuongezea
Mimi nakula mapaja na firigisi vingine sitaki,hata hiyo kidali Haina Radha.yupo sahihi, baba anakula kidari sio mapaja. Waachie watoto hizo paja
Hii biashara ya mwanaume kuwahi kurudi nyumbani Ili ule na familia ni ujinga mwingine.Mfumo wa zamani wa kikoloni ni kutengewa chakula peke yako ndio maana hayo yanakukuta. Ipo siku utawekewa sumu. Kula pamoja na familia yako mezani au na mkeo.
Zamani chakula tulikula kwenye sahani moja na wazazi. Lengo lilikuwa kuona watoto tunavyokula na kutufundisha ulaji mzuri tusijewaabisha ugenini kwa kutafuna kama ng'ombe. Kama kuna vipande vya nyama walianza wazazi kisha mtoto wa mwisho na wengine wanafuata.
Mfumo huu ukaboreshwa ikawa chakula kinawekwa mezani kisha wote tunakutana hapo kila mmoja akijipakulia kinachomtosha. Ukitumia mfumo huu utakula kile unachotaka lakini si vibaya kama wanao wanapenda kula paja wewe ukala kidali au ule mgongo wenye nyama tamu.
Jambo la msingi mchape kwelikweli mkeo atakupa mapaja yote mawili au vipande vyote vya kuku. Wala huhitaji kusema chochote. Amefanya vitendo fanya vitendo. Nafikiri umeelewa.