Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ngoja kwanza nicheke halafu nikasome content yote nijue kama hao watoto ni wako au wamepewa majina yako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje, yaani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja. Hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Kiuhalisia ni muhimu kuwa na mlo mmoja pamoja na familia, ni hizi changamoto za maisha tu ndio zinatuumiza ila pale mezani kuna vingi watoto wanajifunza kupitia kwa wazazi. Usipokula nao nani atawafunza table manners, au tabia nzuri kwa ujumla?Hii biashara ya mwanaume kuwahi kurudi nyumbani Ili ule na familia ni ujinga mwingine.
Nitakula nao pale tuu nitakapokuwa around
Wewe unaongelea kutoka upande wa mapenzi kwa watoto, nakuelewa vizuri kabisa lakini baba kupewa kilichonona si ukandamizaji. Kimsingi, huu utaratibu wa baba kupewa vinono unajenga adabu kwa mtoto, vitu kama kinaa, nafasi ya baba katika familia na kwake yeye kama mtoto n.kMkuu sio kila mila ni yakuifuata.
Asa nyama nayo ni kero ya kukaza shingo namna hiyo tena wanaokula ni wanao?
Huna haja ya kumfikishia ujumbe. Ukiwa na haja ya mapaja ya kuku pitia bar agiza kuku wako mzima kula.Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje, yaani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalishwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja. Hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Usilalamike kula vipapatio wakati wanaokula ni wanao. Kama njemba. Kwanza kuku ana vipande vingi vya kula sio lazima ule paja. Sasa kama wanafuta kuku mzima wanakuachia vipapatio jitafakari mwenyewe wapi unakoseaHii biashara ya mwanaume kuwahi kurudi nyumbani Ili ule na familia ni ujinga mwingine.
Nitakula nao pale tuu nitakapokuwa around
Watafunzwa na ulimwengu.Kiuhalisia ni muhimu kuwa na mlo mmoja pamoja na familia, ni hizi changamoto za maisha tu ndio zinatuumiza ila pale mezani kuna vingi watoto wanajifunza kupitia kwa wazazi. Usipokula nao nani atawafunza table manners, au tabia nzuri kwa ujumla?
Kwanini mtu mzima upakuliwe chakula? Watoto nyama nzuri kwao ni paja coz ni laini kidari kitafyonzwa kitupwe huko.
Sie kwetu kidari ndio heshima.
Dah😂😂😂Mwambie kwanzia leo mtakua mnakula pamoja ugali uwekwe kwenye sinia na mboga kwenye bakuli moja alafu mnauzunguka hapo sasa anza undava mtoto akishika paja mdake mkono
Hili pia liliingia akilini kwangu...kuna namna nyingi Sana matendo ya wanawake yanazungumza.Ukinunua kuku tupa vipapatio,miguu,kichwa na shingo njiani.
Una uhakika ni watoto wako hao?