Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Anaruhusiwa kuhama dini, kuna uhuru wa kiimani kuhamia dini yoyote na anaweza kurejea kwa uhuru,

shida inakuja ikiwa vice versa, nchi kama Saudia wanakuua
Sasa wewe inakuuma nini? Si uwaache watu na dini yao?!

Kinachokuuma ni nini? Hebu tuambie!
 
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo....
Tena hapo umeruka, kuna mtu akipiga ftari ya saa moja kasoro anakuja kupiga tena msosi saa nne usiku anavyoenda kulala halafu anaamka na saa kumi alfajiri kufunga kazi anapiga daku sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa! Wewe kinachokuuma ni nini? Wewe siyo muislam, wewe ni mkristo! Kinachokuuma ni nini? Mambo ya waislam wewe yanakuhusu nini?
Wewe na mwenzako incharge mlidhani hayo mambo ya kuua wanaobadili dini hayapo ila nimewafungua macho, angalau sema asante nimekutoa gizani.

Watu wasio na hatia kwanini wauwawe kwa kubadili dini ?

mtu kaamua abadili dini huyo sio muislam tena ni lazima apewe haki yake
 
kwanini umuue mtu ambae kachaguliwa dini akiwa mtoto asiejitambua na anatka kubadili dini akijitambua ?
Wapi wameuliwa?
Kama hayo yangelikuwa mafundisho ya dini ya uislam mpaka muda huu wewe Tanzania usingelikuwepo!

Wewe pamoja na wazazi wako! Tena hata wazazi wako wasingelikuzaa kwa sababu wangelikuwa wameshakatwa kichwa.

Sasa mbona upo hai? Waislamu wameacha mafundisho yao?
 
Ulianza kujibu kwa kusem hayo mambo hayapo kisha nikakufungua macho, angalau sema asante.

Watu wasio na hatia kwanini wauwawe kwa kubadili dini ?

mtu kaamua abadili dini huyo sio muislam tena ni lazima apewe haki yake

Kama hawana hatia kwako ila kwa wenzako wana hatia.

Sasa wewe yanakuhusu nini?
 
Hata waislam ni hivyo hivyo, yani ngoma ni droo.
 
Tanzania hakuwezi kuwa na hayo mambo, majority ya population sio imani zenye hizo itikadi.

Achana na nchi kama Pakistan, Sudi Arabia, Iraq, zenye 80%+ majority za wenye hizo imani, Nenda hapo Nigeria wenye dominace 51% ubadili dini utakiona cha mtemakuni
 
Mada zingine ni mapuuza. Wangelazimishwa kufunga kwa saa 24 zingeibuka hoja kwamba imani yao ni katili. Tuheshimu imani za watu mradi hazidhuru shughuli zetu.

Wao kufunga kwa masaa hayo ni imani yao kwanini ikukere na kuanzishia uzi wenye mrengo wa dhihaka ndani yake?
 
Tena hapo umeruka, kuna mtu akipiga ftari ya saa moja kasoro anakuja kupiga tena msosi saa nne usiku anavyoenda kulala halafu anaamka na saa kumi alfajiri kufunga kazi anapiga daku sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimewapa vuguvugu, nikikazia kama wewe watasema nina chuki nipigwe banπŸ˜‚
 
Hata kama ukiniambia hivyo wewe kinachokuhusu ni nini?

Si mfumo wao wa maisha ndiyo wamechagua kuishi nao?

Wewe kinachokuhusu ni nini?
 
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
Mbona upo tofauti na wenzio. Mimi kuna mkiristo kasema funga ya kikristo ni kufunga jambo unalolopenda sana mfano unapenda nyama choma, unaamua kutokula nyama choma mfungo mzima
 
Hata kama ukiniambia hivyo wewe kinachokuhusu ni nini?

Si mfumo wao wa maisha ndiyo wamechagua kuishi nao?

Wewe kinachokuhusu ni nini?
Mfumo unamhusu vipi mtu alietoka kwenye mfumo kuhamia mfumo mwengine ?

Watu wanauliwa wewe unasema "wewe kinakuhusu nini ?" hao ni watu kama mimi na wewe sio kuku,
 
Nimewapa vuguvugu, nikikazia kama wewe watasema nina chuki nipigwe banπŸ˜‚
Hakuna haja ya kupigwa ban, ila tutasema wazi wewe ni mdini. Unapenda sana kuwachokoza waislam na uislam sijui walikufanya nini?!

Huwa nakuona kwenye mada nyingi; mara uislam hivi mara vile!

Usijipe umuhimu kwa mambo ambayo hayakuhusu! Kama unachuki nao kufa na chuki yako hivyo hivyo!
 
Mbona upo tofauti na wenzio.Mim kuna mkiristo kasema funga ya kikristo ni kufunga jambo unalolopenda sana mfano unapenda nyama choma,unaamua kutokula nyama choma mfungo mzima
Bro! Labda huyo jamaa humjui!
Binafsi nimemuona kwenye nyuzi nyiingi na sikuwa hata mchangiaji. Ila huyo jamaa ni mdini balaaa!

Kuishi Jf bila kuuzungumzia vibaya uislam sijui siku kwake inakuwaje! Yaani anapenda sana kuukashifu uislam na waislam na atatumia kuushambulia au kuukashifu kwa lugha ya moja kwa moja au kwa lugha yenye konakona nyingi.

Yaani mpaka mtu unashangaa, huyu mtu akili haifanyi kazi sawasawa zaidi ya chuki?

Kwa mtu aliyekuwa na akili ya kufikiria hata kilometre mbili mbele, unafikiri anaweza kuanzisha uzi wa maudhui wa aina ya upangiliaji wa sentensi kama wa kwake?

Hakuna huyo mtu! Kwa sababu atajua fika, atakachokifanya kitaleta msuguano wa kiimani. Ila kwa vile yeye ni mdini, hiyo kwake ni oxygen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…