Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Hii nchi wakristo wengi sana, lakn kulalamika sasa & kuwasema waislamu humu JF kumezidi. Yaan kuna post ukiisoma unaona kabisa huyu kaandika kwa hasira kali au huku analia.
Bora uandike emotionally kuhusu UMEME. Over[emoji41]
Freedom of speech
 
Freedom of speech
Ndo inafanya mtu mzima kuonekana akili kisoda, Fikiria post zinazohusu UDINI au SIMBA na Yanga utakutana na Comments za kushushiana heshima kwa wingi. Kuna post hazi make sense unaona kabisa mtu anataka aanzishe fujo.
 
huu ni wakati watu wanakula kuliko wakati usio wa mfungo, bajeti inaandaliwa kabisa mapemaaaa, kuanzia jioni hadi asubuhi watu wanajaza vyakula hadi tumbo linapata shida, mchana mzima ameshiba na anawaza tu jioni itafika saa ngapi aanze tena kula.
 
Ndo inafanya mtu mzima kuonekana akili kisoda, Fikiria post zinazohusu UDINI au SIMBA na Yanga utakutana na Comments za kushushiana heshima kwa wingi. Kuna post hazi make sense unaona kabisa mtu anataka aanzishe fujo.
Wanaofanya fujo ni wanaokosa uvumilivu wanapokosolewa au kusemwa vibaya.
Watu kusema au kuandika vibaya, kukosoa kwa kejeli ni sehemu ya freedom of speech.
 
Kwani huna kazi ya kufanya zaidi ya kushughulika na dini za watu? Aah hii nchi kuna watu mna kazi aise.
 
Nilimsikia shehe mmoja anasema muda wa mwisho wa kula daku ni saa 04:50AM.


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Unachekesha kweli watu wanaenda saba kavu nn masaa 12??na wapo kibao na wala hawana kelele
 
Umbea ni tabia ya mtu wala si suala la dini huko uswahilini wanakokodishiana mpka ngoma za kusutana wamejaa dini gani???
 
Maelezo mengi lakini sijaona namna mnavyofunga kwa kifupi wakristo hawafungi kabisa wanaacha kula chakula kimoja tu kila mtu anachagua chakula chake cha kufunga mwingine anafunga kula choroko, mwingine anafunga kula magimbi, mwingine anakunywa chai bila sukari hapo ndo wanajihesabia wamefunga.
 
Kuhusu kula Waislam ni walafi sana kipindi hiki na siku ya Idd

Mwaka jana kuja Waislam walioluwa wabaswali sana siku ya Idd walipiga misosi na kutualika na mpaka K-VANT walinunulia watu

Mbona mpaka Mdudu wanakula😂
Misikitini sahivi wanafuturisha na wanoongoza kuvamia kula futari ya bure ni wakristo
 
Muislam anafunga za Sunna anafunga mwezi wowote siku ya jumatatu na alhamis ya kila wiki zipo funga za sunna na siyo kwamba waislam wanafunga ramadhani tu, Ramadhan ni mwezi ambao ni muhiamu kufunga kwa kila muislam mwenye afya njema.

Ingekua wakristo hawana siku maalum ya kufunga kwaresma isingekuwepo na wakaita mfungo wa kwaresma ambayo kiuhalisia hawafungi ila wanapumzika kula chakula kimoja.
 
Uko sahihi
 
Kuja kula chakula cha bure si vibaya, hata mimi nitakula

Lakini basically, Waislam hawafungi ni wanabadilisha muda wa kula

Nawewe unadamkaga saa 10 usiku kupiga msosi?
Ndiyo naamka kula msosi saa 10 na ninapata thawabu kwa kuamka kula muda huo.

Na wewe vipi kwaresma hii umefunga kula nini? makande au magimbi?
 
Msingi wa kufunga ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…