Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano.

Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
 
Mwacheni Shujaa Apumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ