1)Unajua maana ya chuki?
2)Nani alikwambia kuwa mtu akipinga unachokiamini basi anachukia?
3)usisubiri kuambiwa na watu ndio ujione intelligent
4)kanisa katoliki limeingi mambo yafuatayo, (hapa chini) ambapo wale ambao hamuhoji mmeaminishwa kuwa ndio intelligent ila wanaohoji wanaonekaka wajinga.
-ibada za sanamu
-ndoa za jinsia moja
-taasisi ya utawa
Ninavyojua mimi, viashiria vya awali juu ya intelijensia ya mtu yeyote duniani ni uwezo wake wa kuhoji na maamuzi, sasa kama kanisani kwako umeletewa mafundisho yasiyoshabihiana na biblia, badala ya kuhoji umekalia tu kulialia eti watu wanawachukia (hasa wakristo wasio wakatoliki) hauoni kama umefungwa akili huku miguu inatembea? Amka mwana wa adam,
*Not everything you read on the internet is true, you've got to use you common sense