Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

L
Kifungu cha 14: Hakuna Wokovu Nje ya Kanisa La Kristo, Kanisa Moja Takatifu Katoliki La Mitume La Kimisionari.

Hata ujinyee, ukweli ndo huo.

Hayo matamshi alotoa papa tuwekee hapa,

Screenshot_20210923-215046.png
 
Papa yupi ?lini? wapi? acha kuropoka vitu usivo na uhakika navyo. Hakuna kanisa linalokemea waziwazi vitendo vya ushoga na utoaji mimba kama Katoliki. Na linapigana vita vikubwa sana duniani kwasababu ya misimamo yake. Acha kusema maneno ya vijiweni.

Screenshot_20210923-215046.png
 
Yaani umenikata makali kweli kweli maana nilitaka kuandika hayo hayo labda kwa faida ya mtoa mada kanisa katoliki halipo kumhubiri Kristo bali ni maajenti wa ibilisi duniani,fuatilia ibada zenu vizuri ipo siku utakuja kugundua kuwa umepoteza muda wako mwingi kuabudu mahali pasipokukuza kiimani,ibada za sanamu Biblia imekataza ninyi mmeiondoa hiyo Amri kwenye biblia yenu hali kadharika kuombea wafu ninyi mnafanya wakati biblically ni kosa mwisho mnatumia jina la mnayemwita bikira Maria kwenye ibada zenu wakati hana impact yoyote kiimani isitoshe Maria sio bikira kwasasa
Sijui ni ukristo gani kwa kweli huu
Eti baba na mama wakitalikiana huruhusiwi kuwa padri
 
Mbona jujibu swali??
Yesu Alikuwa Anaomgea na Nani??[emoji101][emoji101][emoji101]
MATHAYO 16:18-19.
18. "Nami nakuambia, na juu ya MWAMBA huu nitalijenga kanisa langu ambalo hata nguvu za kuzimu haziwezi kulishinda.
19. Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni na lo lote utakalo lifungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni."

1.Katika andiko hilo ni wapi "DHEHEBU" limetajwa?

2.Katika andiko hilo ni wapi YESU kasema DHEHEBU fulani ni la KWELI?

3.Katika andiko hilo ni wapi YESU kampa Petro UASKOFU au kwamwambia Petro wewe ni PAPA?

Kuna tofauti kati "KANISA" kama "MWILI WA KRISTO" na "KANISA" kama "JENGO".

Hapa KRISTO YESU haongelei "JENGO", Haongelei jengo la Wasabato, Jengo la Wakatoliki, Jengo la Walokole, Wamenonite, Wabudha, Wabaptisti wala haongelei kanisa la Wapentekote.

Anaongelea KANISA KAMA MWILI na si JENGO, "...Na kanisa lililomwo nyumbani mwako" FILIMONI 1:2
 
Yesu Kristo ndiye "MWAMBA" na ndiye "JIWE KUU" la pembeni.
1WAKORINTHO 10:4

4. "Na wote walikunywa kinywaji kile cha kiroho, Kwa maana walikunywa kutoka katika ule "MWAMBA" wa kiroho uliofuatana nao; na "MWAMBA" huo ulikuwa ni "KRISTO".
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Niuzie acc ya Gentamycine
 
Wewe utakuwa sio mroma kiongozi wangu
Acha ubishi basi, wewe unakazania kitu ulichokisikia mimi ndie ninaesali kanisa katoliki najua taratibu zake zikoje.

Kazana kumjua Mungu mkuu, hizo mambo za kukashfu dini za watu hayakusaidii chochote kiroho.
 
MATHAYO 16:18-19.
18. "Nami nakuambia, na juu ya MWAMBA huu nitalijenga kanisa langu ambalo hata nguvu za kuzimu haziwezi kulishinda.
19. Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni na lo lote utakalo lifungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni."

1.Katika andiko hilo ni wapi "DHEHEBU" limetajwa?

2.Katika andiko hilo ni wapi YESU kasema DHEHEBU fulani ni la KWELI?

3.Katika andiko hilo ni wapi YESU kampa Petro UASKOFU au kwamwambia Petro wewe ni PAPA?

Kuna tofauti kati "KANISA" kama "MWILI WA KRISTO" na "KANISA" kama "JENGO".

Hapa KRISTO YESU haongelei "JENGO", Haongelei jengo la Wasabato, Jengo la Wakatoliki, Jengo la Walokole, Wamenonite, Wabudha, Wabaptisti wala haongelei kanisa la Wapentekote.

Anaongelea KANISA KAMA MWILI na si JENGO, "...Na kanisa lililomwo nyumbani mwako" FILIMONI 1:2
Nimekuuliza Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
Unaleta mafungu na blabla...
Kwani Aliye kudanganya Ukatoliki ni Jengo nani??[emoji13][emoji13]

Huu Ndio Ukatoli jee ni Majengo??

NGUVU YA KANISA KATOLIKI DUNIANI.

Ukitaka kuona Nguvu ya kanisa katoliki duniani angalia tu mambo machache ambayo yameasisiwa ndani ya kanisa hili takatifu la mitume wa Yesu Kristo na mambo hayo yanafanywa na kufuatwa na madhehebu yote na dini zote, serikali zote na falme zote.

1. CALENDER YA GREGORIAN

Hii ndio kalenda inayotumika duniani kote, kwenye dini zote na madhehebu yote.Hii ndio calendar inayopanga mipango yote kwa kipindi chote cha mwaka katika makampuni,serikali,taasisi na na watu binafsi.Kalenda hii iliasisiwa PAPA Gregory wa Kanisa katoliki,hii ndio calendar rasmi kwa mataifa yote na taasisi zote hata sasa hivi ww usomaye hapa uwe msabato au mwislamu simu yako inatumia system ya Gregorian Calendar.

2.
JUMAPILI [emoji1787]
Najua hapa utabisha,achilia mbali swala la kuabudu katika siku hii,ila ukweli ni kwamba hii ndio siku pekee ambayo dunia mzima inakuwa mapumzikoni katika weekend.Hii ndio siku pekee ambayo karibia asilimia 80 ya ofisi zote duniani,mashule, makampuni n.k yanafungwa kwa ajili ya mapumziko ya weekend.
Waislamu husali siku ya Ijumaa lakini mashule* yanafungwa,maofisi, watu wanakuwa home wamerelax? Hali kadhalika na jumamosi vile vile.Ila ifikapo jumapili dunia mzima inapumzika nyumbani, Jumapili ni zao la kanisa katoliki na inaheshimiwa duniani kote kwa serikali zote na watu wote

3. SIKUKUU YA MTAKATIFU YOSEFU,SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Kila Mei Mosi,kanisa katoliki duniani kote huadhimisha sikukuu ya mtakatifu YOSEFU MFANYAKAZI,huyu ndio yule mume wa Maria na Baba mlishi wa Yesu Kristo,makala kuhusu sikukuu hii ipo kwenye page ya Mkatoliki Imara . Sikukuu hii imechukuliwa kama ilivyo na serikali zote ulimwenguni na imekuwa ikitambulika kama Public Holiday.Yaani hata leo hii Rais Mama Samia anahutubia wafanyakazi wote Tanzania kupitia siku hii iliyoasisiwa na kanisa katoliki.Hata wewe leo hii kama ingekuwa sio weekend usingeenda kazini wala hutapata huduma maofisini kwa sababu ya sikukuu hii ya YOSEFU MFANYAKAZI

4. PAPA NA BALOZI WAKE.

Huyu ndio kiongozi pekee wa kidini ambaye ana ofisi ya balozi wake karibia kila nchi duniani,na balozi huyu anatambulika rasmj na serikali za nchi mahalia.Pia hili ni kanisa ambalo makao yake makuu kuna ofisi za mabalozi wa nchi mbalimbali.Kiongozi wa Kanisa hili akienda nchi yoyote ile duniani huwa anapewa heshima ya kipekee zaidi ya kiongozi yoyote yule awe wa kidini au kiserikali.Hii ni nguvu na ushawishi wa kanisa katoliki duniani.

5. BIBLIA
Hili ndio kanisa la *kwanza kabisa kuratibu na kuanzisha uandishi wa Biblia.Mtakatifu Jerome ndiye mtu wa kwanza kuandika biblia.Ikumbukwe *kwamba Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vya maandiko ya Mungu.Kwahiyo kazi hii ya kukusanya vitabu hivi na kuvipangilia kwa mpangilio huu unaotumika hadi* sasa ulifanywa na kanisa katoliki.Madhehebu yote duniani wanafurahia kazi hii takatifu iliyofanywa na Kanisa katoliki kupitia kwa mtakatifu wake Jerome.

HESHIMA HII YA KIPEKEE HUPATIKANA TU IKIWA KANISA LINAONGOZWA NA ROHO WA MUNGU.

[emoji120][emoji120][emoji1672][emoji1672]
 
Yaani wewe jamaa hujui kitu chochote kuhusu Roman Catholic
Kwani hata mende kushinda chooni kula mavi anaona wewe jamaa hujui kitu[emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Papa yupi ?lini? wapi? acha kuropoka vitu usivo na uhakika navyo. Hakuna kanisa linalokemea waziwazi vitendo vya ushoga na utoaji mimba kama Katoliki. Na linapigana vita vikubwa sana duniani kwasababu ya misimamo yake. Acha kusema maneno ya vijiweni.
Unastahili kuitwa mkurupukaji
JamiiForums-880340405.jpg

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
 
Nimekuuliza Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
Unaleta mafungu na blabla...
Kwani Aliye kudanganya Ukatoliki ni Jengo nani??[emoji13][emoji13]

Huu Ndio Ukatoli jee ni Majengo??

NGUVU YA KANISA KATOLIKI DUNIANI.

Ukitaka kuona Nguvu ya kanisa katoliki duniani angalia tu mambo machache ambayo yameasisiwa ndani ya kanisa hili takatifu la mitume wa Yesu Kristo na mambo hayo yanafanywa na kufuatwa na madhehebu yote na dini zote, serikali zote na falme zote.

1. CALENDER YA GREGORIAN

Hii ndio kalenda inayotumika duniani kote, kwenye dini
zote na madhehebu yote.Hii ndio calendar inayopanga mipango yote kwa kipindi chote cha mwaka katika makampuni,serikali,taasisi na na watu binafsi.Kalenda hii iliasisiwa PAPA Gregory wa Kanisa katoliki,hii ndio calendar rasmi kwa mataifa yote na taasisi zote hata sasa hivi ww usomaye hapa uwe msabato au mwislamu simu yako inatumia system ya Gregorian Calendar.

2.
JUMAPILI [emoji1787]
Najua hapa utabisha,achilia mbali swala la kuabudu katika siku hii,ila ukweli ni kwamba hii ndio siku pekee ambayo dunia mzima inakuwa mapumzikoni katika weekend.Hii ndio siku pekee ambayo karibia asilimia 80 ya ofisi zote duniani,mashule, makampuni n.k yanafungwa kwa ajili ya mapumziko ya weekend.
Waislamu husali siku ya Ijumaa lakini mashule* yanafungwa,maofisi, watu wanakuwa home wamerelax? Hali kadhalika na jumamosi vile vile.Ila ifikapo jumapili dunia mzima inapumzika nyumbani, Jumapili ni zao la kanisa katoliki na inaheshimiwa duniani kote kwa serikali zote na watu wote

3. SIKUKUU YA MTAKATIFU YOSEFU,SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Kila Mei Mosi,kanisa katoliki duniani kote huadhimisha sikukuu ya
mtakatifu YOSEFU MFANYAKAZI,huyu ndio yule mume wa Maria na Baba mlishi wa Yesu Kristo,makala kuhusu sikukuu hii ipo kwenye page ya Mkatoliki Imara . Sikukuu hii imechukuliwa kama ilivyo na serikali zote ulimwenguni na imekuwa ikitambulika kama Public Holiday.Yaani hata leo hii Rais Mama Samia anahutubia wafanyakazi wote Tanzania kupitia siku hii iliyoasisiwa na kanisa katoliki.Hata wewe leo hii kama ingekuwa sio weekend usingeenda kazini wala hutapata huduma maofisini kwa sababu ya sikukuu hii ya YOSEFU MFANYAKAZI

4. PAPA NA BALOZI WAKE.

Huyu ndio kiongozi pekee wa kidini ambaye ana ofisi ya balozi wake karibia kila nchi duniani,na balozi huyu anatambulika rasmj na serikali za nchi mahalia.Pia hili ni kanisa ambalo makao yake makuu kuna ofisi za mabalozi wa nchi mbalimbali.Kiongozi wa Kanisa hili akienda nchi yoyote ile duniani huwa anapewa heshima ya kipekee zaidi ya kiongozi yoyote yule awe wa kidini au kiserikali.Hii ni nguvu na ushawishi wa kanisa katoliki duniani.

5. BIBLIA
Hili ndio kanisa la kwanza kabisa kuratibu na kuanzisha uandishi wa Biblia.Mtakatifu Jerome ndiye mtu wa kwanza kuandika biblia.Ikumbukwe *kwamba Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vya maandiko ya Mungu.Kwahiyo kazi hii ya kukusanya vitabu hivi na kuvipangilia kwa mpangilio huu unaotumika hadi
sasa ulifanywa na kanisa katoliki.Madhehebu yote duniani wanafurahia kazi hii takatifu iliyofanywa na Kanisa katoliki kupitia kwa mtakatifu wake Jerome.

HESHIMA HII YA KIPEKEE HUPATIKANA TU IKIWA KANISA LINAONGOZWA NA ROHO WA MUNGU.

[emoji120][emoji120][emoji1672][emoji1672]
Baeleze bamutu ba tanganyika. Magaidi, wabaya wote wa ukristu wakitaka ku attack ukristu wanadeal na kanisa katoliki maana ndio alama halisi ya ukristu.
 
Unastahili kuitwa mkurupukaji View attachment 1950538

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
Ndio karuhusu? unajua kusoma wewe? huoni quotes? ndio maana ata shule mlienda lakini hakuna mlichoambulia. Papa kwanza hatungi wala kutoa amri wewe. Usichokijua ni kama usiku wa giza. Media za nje nyingi ni 'sensational' kama hufahahamu. Wao waandishi wenyewe hawajui sheria za kanisa.
 
Nimekuuliza Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
Unaleta mafungu na blabla...
Kwani Aliye kudanganya Ukatoliki ni Jengo nani??[emoji13][emoji13]

Huu Ndio Ukatoli jee ni Majengo??

NGUVU YA KANISA KATOLIKI DUNIANI.

Ukitaka kuona Nguvu ya kanisa katoliki duniani angalia tu mambo machache ambayo yameasisiwa ndani ya kanisa hili takatifu la mitume wa Yesu Kristo na mambo hayo yanafanywa na kufuatwa na madhehebu yote na dini zote, serikali zote na falme zote.

1. CALENDER YA GREGORIAN

Hii ndio kalenda inayotumika duniani kote, kwenye dini zote na madhehebu yote.Hii ndio calendar inayopanga mipango yote kwa kipindi chote cha mwaka katika makampuni,serikali,taasisi na na watu binafsi.Kalenda hii iliasisiwa PAPA Gregory wa Kanisa katoliki,hii ndio calendar rasmi kwa mataifa yote na taasisi zote hata HAYA MATANGOMWITU tena umeyachuma wapi haya!?!!

Unaniletea MAPOKEO hapa? LETE NENO LA BIBLIA TAKATIFU ACHA POROJO
 
Back
Top Bottom