Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Muathirika wa UKIMWI akikubali hali na kufuata masharti tu anaishi miaka mingi sana hata ya maisha ambayo ingebidi aishi .kikubwa kuhakikisha kinga yako iko vizuri iwe kwa dawa -ARV plus lishe ..nk

Watu wengi wakufa kwa magonjwa kama Presha ,stroke ,Moyo , Sukari,kansa Ajali na Majanga..nk tuyaepuke sana haya pia pale inapobidi .
 
Muathirika wa UKIMWI akikubali hali na kufuata masharti tu anaishi miaka mingi sana hata ya maisha ambayo ingebidi aishi .

Watu wengi wakufa kwa magonjwa kama Presha ,stroke ,Moyo , Sukari, Ajari na Majanga tuyaepuke sana haya pia pale inapobidi .
Hivi ushawahi kukaa kidogo na muathirika ukamwambia siku moja unatamani akupunguzie kiasi cha virusi alivyonavyo mwilini mwake ikiwa wewe hauna virusi alikujibu nini?
 
Wapwa hivi mnaelewa vizuri ngwengwe ilivyo balaa au mnajivua ubongo sababu wanasayansi wanajaribu kufanya ukarabati?
Acha kutisha watu wewe mie nina ngwengwe zaidi ya miaka 18 na bado nadundika mtaani na corona ili donda hapa.
Siri ni moja tuu. Hsianze kutumia arv utakwisha. Piga mazoezi kula vizuri na pia ingia jf uwe unapiga story upungjze stress utaishi vizuri tuu
 
Back
Top Bottom