ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Hakika kisukari ni nomaTena kama kisukari ukibugi kidogo tuu matokeo yake ni papo kwa papo
UKIMWI cha mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika kisukari ni nomaTena kama kisukari ukibugi kidogo tuu matokeo yake ni papo kwa papo
Ngwengwe imefanyiwa ukarabati na wanasayansi sasa hivi inaonekana km ugonjwa wa kawaida kumbeWache wafarijiane hapa.. Nimeshuhudia familia ya mjomba mpaka watoto baadhi wakiteketea kwa ukimwi mbaya zaid mateso wanayopitia mwisho mwa uhai ni magumu. Nimeshuhudia kwa macho yangu
Mtoa mada ana hoja asikilizwe...Overrated because you don't have it..
We hujaona wagonjwa wa Figo au KisukariWache wafarijiane hapa.. Nimeshuhudia familia ya mjomba mpaka watoto baadhi wakiteketea kwa ukimwi mbaya zaid mateso wanayopitia mwisho mwa uhai ni magumu. Nimeshuhudia kwa macho yangu
Ukimwi unaona cha mtoto sababu umefanyiwa ukarabati kisukari kikifanyiwa ukarabati hamtokiogopa nyinyi rudi 1990 kisha ongea kuhusu ukimwi utanielewa nazungumzia niniHakika kisukari ni noma
UKIMWI cha mtoto
aaah kula wewe mwenye kibendiKanunue ule
Basi Kula nanasi weweaaah kula wewe mwenye kibendi
Wewe ushawahi kuuguza mgonjwa wa ukimwi au unabwatuka tu?We hujaona wagonjwa wa Figo au Kisukari
UKIMWI hauna shida hata ukiwa nao utaishia vyema tu
A.a kula wewe ndio mwenye uhitajiBasi Kula nanasi wewe
Mkuu me nimewashudia woteWewe ushawahi kuuguza mgonjwa wa ukimwi au unabwatuka tu?
Hakuna manyanyaso hapoManyayaso tu😂
Ukimwi ukizingatia maelekezo ya wataalam mbona unaishia hadi unawaona wajukuu na vitukuuWatu wa Bukoba nilikuwa nikiwasikia wakiambiana hivi.
Kwenye hiyo listi yako mazee bora ukimwi.Ukilazimika uchague kati ya Ukimwi, kansa, kisukari, maradhi ya moyo au figo utachagua nini?
Sawa hatuombei ugonjwa wowote ila ugonjwa unaoua Watanzania wengi ni Figo na kisukari zaidi ya UkimwiUgonjwa wowote ni hatari hakuna wenye nafuu hapo
Ni sawa na MTU aseme bora mafua kuliko kikohozi na kusahau kuwa yote hayo ni magonjwa hatari.
Ndio maana ya mtoa mada... Ukilinganisha na mabalaa tuliyonayo sasa hivi, UKIMWI ni manageable is the best of the worst options.Ukimwi unaona cha mtoto sababu umefanyiwa ukarabati kisukari kikifanyiwa ukarabati hamtokiogopa nyinyi rudi 1990 kisha ongea kuhusu ukimwi utanielewa nazungumzia nini
Pia asisahau na mazoezi.Sasa hivi ni msimu Wa maembe na nanasi.
Ukimwi ukizingatia maelekezo ya wataalam mbona unaishia hadi unawaona wajukuu na vitukuu