Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

Kwahiyo ukipata UKIMWI hauwezi kupata sukari na pressure.???

Fatilia vizuri nini maana ya ukimwi ukiupata means ni rahis kushambuliwa na magonjwa mengine .

Watu mnawaona wanatoboa muda mrefu wengi wapo well of sasa jiulize ukiwa hauna uwezo wa kupata lishe nzuri , then upate ukimwi lazima utatikisika Sana kiafya
 
Mkuu me nimewashudia wote
Ila Figo na kisukari ni hatari sana
Yaani haya maradhi yakikupata huponi kirahisi na ni suala la muda haizidi miaka 5 utakufa tu
Mungu atuepushe na maradhi ya Figo na kisukari
Wakija kuuguza mgonjwa mwenye haya magonjwa watakuja kuamini maneno yako, ila Saiz hawawezi kukuelewa
 
Hongera ila pia usiwaaminishe watu kuwa unaishi nomo kama mtu asiye na maambukizi never!
Nomo sii nomo jamani yaani kwamba i can eat burger drink coke, kula chips zege. Hivyo vitu mtu mwenye kisukari pressure hawezi fanya. So thats wat i mean by nomo life
 
sIku hz watu hawaambukizan sana labda huku kutokuambukizana ndo ungesema ni overrated lakin ukiwa nao huwez sema hvyo
 
Jambo hatari sana kwa UKIMWI ni kupata magonjwa kama Ini na Figo na moyo kwa kuwa matumizi ya dawa kila siku hudhoofisha sana figo na ini
na ndo maana wagonjwa wengi wa UKIMWI ni wahanga sana wa ugonjwa wa Figo,ini.
Na hii ndo hufanya watu wengi wauogope ugonjwa wa figo na ini kuliko UKIMWI,..lakini wasijue kuwa mzizi mkubwa ni UKIMWI wenyewe
 
Ah mie tayari ninao mzeya.
Mishangazi naitamani ila sasa tatizo kibamia kazi itanishinda wacha niwaachie waliobarikiwa mi de liboloz
Kwamba mishangazi inahitaji fc libolo ya kwenda😄
 
Ukiwa na ukimwi sio guarantee ya kutopata magonjwa mengine especially uliyoyataja mleta mada.
 
Back
Top Bottom