BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Figo kisukari wapo wanaopona tatizo umasikini hayo maradhi kupona kwake ni gharama kubwa mno sababu huwezi kuirudisha kongosho kwa siku 1 na huwezi kuirudisha figo kwa siku 1Mkuu me nimewashudia wote
Ila Figo na kisukari ni hatari sana
Yaani haya maradhi yakikupata huponi kirahisi na ni suala la muda haizidi miaka 5 utakufa tu
Mungu atuepushe na maradhi ya Figo na kisukari
Ila ukimwi ni mbaya zaidi maana unasababisha kansa kaposisi sakoma ambayo ni hatari zaidi kuliko figo na kisukari yaan huponi ukipata kansa mwaka humalizi tena mwaka mbali miezi 6 hutoboi, ndio maana ukigundulika una ukimwi wanakuwahi na dawa kuviwahi virusi visikushambulie bila dawa wewe huwezi kuishi lazima ufe tu tena ndani ya muda mfupi yaan tukudunge virusi vya ukimwi kwenye mishipa yako ya damu tusikupe dawa yoyote hata penadol wewe hutoboi wiki tunakuzika