Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Siku
mgeni akija home kuna ile siku mzazi akijipata mfukoni na pesa ya kinywaji kimoja tu cha mgeni, na kwasababu ana tamani sana kumpokea vizuri mgeni wake, na kumpa chochote kitu, basi soda ilikua ni kitu kizuri kwa macho na kitamu mdomoni... Tunaita Kinywaji laini.
Sasa hapo Mtoto ilikua ni uvumilie usiombe soda kwa mgeni wala usililie kununuliwa yako
Soda inavutia machoni, ubaridi wake na wewe koo unaona limekauka, akili inakwambia ulimi unatamani uchachue kidogo ka soda.
Je utaweza kuwa comfortable na mazingira hayo, na kuamini ipo siku nitapatia soda na mm, na nitafurahia kuwa satisfied matamanio yangu.
Desire -then- Satisfied
Ukililia tu soda fimbo zinakuhusu, unatakiwa kuwa humble kwanza
Mtu imara ni yule anayeweza kujizuhia matamanio yake kwa Muda furani akiamini atafanikisha wakati ujao
Mungu anataka watu kama hao.
Haka kamchezo Mungu anatuchezea dunia na yeye.
Upo jangwan hakuna msosi, lakini Mungu anakutaka uwe humble, mtulivu tu usipaniki wala nn
Yeye atafanya njia tu, vumilia kwanza kukaa njaa kidogo. What ????????
Mambo mazuri na Makubwa hayaji haraka
........ Ni hivo na yote yana gharama zake.
Yah kukaa njaa kidogo ni mtiti, bendera chuma mlingoti chuma, Tanzania lazima tuikomboe 7/7
Surya The free Guy