Kilimo pia ni kubet tu.Hayo ma-BMW na Mercedes Benz unayoandikaga humu ni mtaji wa kilimo. Mwaka huu kaulize January kipeto cha viazi chips kimeuzwa bei gani.
Mtaji 2.5 or below kwa ekari, kipeto kimoja kimeuzwa hadi 100k majuzi tu hapo. Ekari moja unatoa vipeto zaidi ya 70 hadi 90 ukilima kwa kuzingatia. Kuna mtu kila ekari katoa 8.3M alilima ekari 15.
Kwa vile umeshauri wenye simu za bei wauze waagize vitu China, nami nakushauri uza gari moja la gharama kisha nunua Passo hiyo nyingine tia shambani.
Soma title ya uzi wako na sentensi ya mwisho uliyoandika.Nina ekari zinanitosha. By the way sijashauri mtu auze simu yake. Kwanza wenye iPhone za maana humu wanahesabika.
Kuagiza vitu China ndio sio kubeti? Waulize wateja wa iliyokuwa Mapembelo Cargo.Kilimo pia ni kubet tu.
Ukikikumbuka uta nitajia ili na Mimi nikisome hicho kitabuKuna kitabu kimoja kinawazungumzia wa Tibeti , hii jamii ya watu wana falsafa kali sana
😄😄 we mzeeBasic needs ni za muhimu SANAAAAAA tena sana..
According to Buddha kwamba utajir na mengineyo ni ya ziada TU.
Mbona umecheka mkuu?😄😄 we mzee
Sasa majibu unayo povu la nini? Hio ni lugha tu hapa ujumbe ni mtaji mdogo unaweza kuagize vitu ukakua.Soma title ya uzi wako na sentensi ya mwisho uliyoandika.
Vilevile wenye hizo simu za 5M wana biashara za kuagiza China na wanatumia hizo simu kutangaza biashara. Mtu anauza viatu au nguo unataka atumie itel akipigia picha unahisi watu watanunua.
Wote wakifanya kama unavyofanya nani atakuwa mteja wa mwingine.Iko hivi 2025 yote kila mwezi au miezi miwili nilikuwa naagiza mzigo mdogo China. Hii ni kama side business ambayo wateja wangu kwa uhitaji wao walinishauri niwaletee hivi vitu.
Mzigo wa mwisho nilitumia 1.8m kununua na mzigo kunifikia. Mzigo ulikuwa na items kama 185. Huu mzigo wote niliuza na kupata around 6.5m. China vitu bei rahisi sana. Na sio lazima uende.
Sada hapo unaweza kuona ka mtaji ka chini ya 2m kanazalisha 6.5m. Hivi iPhone bei gani?
Uzi tayari.
Cc Chivundu
Hiyo siyo utata, utata upo katika kupata wanunuzi. Kuagiza ni rahisi sana sawa na kunywa maji ya dawascoUpo sahihi ila utata upo kwenye kupata hiyo connection ya kuagiza mzigo china.
Similiki simu ya bei
Exactly.Kilimo pia ni kubet tu.
Ninaemtumia nilimpata Insta. In fact alinifuata yeye baada ya kuona anachozalisha ndio nauza.Kama hautajali mkuu, tuambie platform uliyotumia kuagiza mzigo wako.
Maana Kikuu wamekuwa washenzi sana alibaba/aliexpress sijiu namna wanavyooparet.
Tatizo la kuagiza Mzigo China ni pale unapotuma hela kwa supplier direct. Hapo kutotapeliwa ni 0.001%Kama hautajali mkuu, tuambie platform uliyotumia kuagiza mzigo wako.
Maana Kikuu wamekuwa washenzi sana alibaba/aliexpress sijiu namna wanavyooparet.
Sijakataa, nasema kupata bidhaa ni rahisi sana, tatizo kupata Wateja. Kama kuna mtu anajua market vizuri, hawezi lala njaaKupata wateja ndio biashara kama huwezi kupata wateja ina maana hakuna boashara hapo.