Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

Kunyongwa kwa mafisadi kuendane na matumizi sahihi ya rasilimali za nchi katika kumnufaisha mwananchi... Vinginevyo ni hasara kuwaua mafisadi
Mafisadi ndio huhakikisha mwananchi mnyonge hapati haki daima, kwahiyo kuwaacha hai hakutaleta matumuzi sahihi ya rasilimali abadan
 
Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka
Mfumo ovu bado upo, kuweni makini
Povu ruksa
Ungeanza kwa kuwalaumu viongozi wa itikadi yako walioko maofisini wameshindwaje kununua hata mshumaa !!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ungeanza kwa kuwalaumu viongozi wa itikadi yako walioko maofisini wameshindwaje kununua hata mshumaa !!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Upande wetu hata wakifanya ibada pembeni tu ya ofisi, tena kimya kimya binafsi tu utasikia oooh jamaa kajenga msikiti ofisini, inchi ina wenyewe hii bwashee

Ila nyie mnaweka hadi midoli ofisini tena ofisi za umma
 
Nauliza wale waliojifanya hawakuelewa wakati ule,
Je sasa wameelewa? Kama bado basi nawakaribisha hapa wizarani wajionee wenyewe

Ni kodi za watanzania tu zinaliwa kwa kuwasha mitaa na min'gao
 
Back
Top Bottom