mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
- #61
Basi hata taa za kumweka mweka?Waislamu na maua wapi na wapi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hata taa za kumweka mweka?Waislamu na maua wapi na wapi...
Kwani ofisi za serikali ni makwenu?Pamba kwako
Majumbani pia huwa sio haba tunapamba na kusherekeaKwani ofisi za serikali ni makwenu?
Pambeni makwenu na nyie muone kama tutahoji
That's good, kwa huko nitakupongeza pia, hongera sanaMajumbani pia huwa sio haba tunapamba na kusherekea
Na wakubwa bado mnawaza sikukuuHatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka
Mfumo ovu bado upo, kuweni makini
Povu ruksa
Sikukuu ni ibada bwasheeNa wakubwa bado mnawaza sikukuu
Ibada haifanyiki hadi ipambweSikukuu ni ibada bwashee
Unaendaje mbele ya Mungu huku unanuka?Ibada haifanyiki hadi ipambwe
..???
Kwahiyo yakiwepo mataa, maurembo ndio kutafanya usinukeUnaendaje mbele ya Mungu huku unanuka?
Kila siku mtabaki kulalama tu..!!! Leo hili kesho lile. Badala ya kujenga shule na mahospitali, mmebaki kujenga vituo vya mafuta na misikiti..!!Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka
Mfumo ovu bado upo, kuweni makini
Povu ruksa
Mungu anaangalia usafi au harufu ya moyo wako.Unaendaje mbele ya Mungu huku unanuka?
Wasiwasi wa nini sasa?Kila siku mtabaki kulalama tu..!!! Leo hili kesho lile. Badala ya kujenga shule na mahospitali, mmebaki kujenga vituo vya mafuta na misikiti..!!
1. Hukuona JPM akichangisha hela kanisani kule Dodoma ili mjengewe msikiti?
2. Hukuona Mkapa akigawa chuo cha serikali (TANESCO) kule Morogoro kuwa chuo kikuu cha kiislamu
3. Hujaona benki ya taifa NBC inaanzisha islamic banking badala ya waislamu kuanzisha benki yao?
4. Hukuona Nyerere akitaifisha shule zilizokuwa zinamilikiwa na wakrito huku yenu moja tu (Tambaza) ikitaifishwa ili kupunguza ap la elimu kutoka wakristo kuwa juu hadi tuwe tunafanana?
Kweli mahindi hayaoti mjini..!!
Hayi ni wewe unasemaKwahiyo yakiwepo mataa, maurembo ndio kutafanya usinuke
1. MOU inatafutwa haikufuati ulipoWasiwasi wa nini sasa?
Mpaka sasa inchi ni yenu hilo halina shaka,
Lakini basi msifuje mali ya walipa kodi kusherehekea sikukuu za kidini?
Kuweni waadilifu
Vipi M. O. U? Kati ya serikali na kanisa?Unajua habari zake lakini?
We acha tu ni heri unyamaze kuliko kutonesa vidonda yatamwagika mengi hapa tena mshangae bureee
Nyie hamkuiomba serikali kifaa cha kutazamia mwezi? Au pale mlikuwa mnaomba hela toka msikitini?Hayi ni wewe unasema
Mimi nimeuliza kwanini mtumie hela za serikali kwenye dini?
Hawatakuwa wazi mayahudi na manaswara hadi mfate mila zaoHatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka
Mfumo ovu bado upo, kuweni makini
Povu ruksa
Ni utamaduni tu hakuna lolote nchi ya wote hii. Kwani wewe sikukuu ya Idd huwa unapamba nyumbani kwako? sasa ulitaka nani akakupambie serikali?Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka
Mfumo ovu bado upo, kuweni makini
Povu ruksa
Haya sawaNi utamaduni tu hakuna lolote nchi ya wote hii. Kwani wewe sikukuu ya Idd huwa unapamba nyumbani kwako? sasa ulitaka nani akakupambie serikali?
Maeneo ya kibiashara/huduma huwa yanapambwa sikukuu ya krismas kuendandana utamaduni uliopo katika jamii wakristo walipo. Hivyo ofisi nyingi za serikali hufanya hivyo ili kuendana na ushindani wa kibiashara. Mnaweza kuiga utamaduni huo kipindo cha Idd sio vibaya
Mayahudi na manasara🤣🤣🤣🤣🤣Hawatakuwa wazi mayahudi na manaswara hadi mfate mila zao