Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Sasa bwasheee, mbona mliomba hela serikalini? AU huelewi unachoulizwa?Kuangalia mwezi ni kwa waislamu tu, haiwahusu wakristo, ila ofisi za serikali zinatuhusu sote bwashee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa bwasheee, mbona mliomba hela serikalini? AU huelewi unachoulizwa?Kuangalia mwezi ni kwa waislamu tu, haiwahusu wakristo, ila ofisi za serikali zinatuhusu sote bwashee
Mikarate itashindana na bunduki?1. MOU inatafutwa haikufuati ulipo
2. Nchi yetu sote, na ndiyo maana hata Rais ni muislamu. Na aliyekuwa Rais (mkristo), Mkapa aliwapa waislamu eneo lenye majengo wakakifanya kuwa chuo kikuu cha kiislamu.
3. Uadilifu au wizi dini zote wamo. Kuanzia waislamu, wakristo na hata wasio kwenye dini hizo mbili. Kile kiwanja cha waislamu pale Kibasila (DSM) kiliuzwa na wakristo? TATIZO LENU MNALALAMA KILA KUKICHA. Mikareti mnayojifunza huko misikitini wakristo wanahusika?
Wewe ndio huelewi majibu yangu na hoja zangu,Sasa bwasheee, mbona mliomba hela serikalini? AU huelewi unachoulizwa?
Walioamua kutumia ndio waliotumia... Sidhani kama kuna watu walitoka na kuombaHayi ni wewe unasema
Mimi nimeuliza kwanini mtumie hela za serikali kwenye dini?
Kujengewa kanisa na serikali au mama kutoa milioni mia kuwapa kanisa au waislamu kuomba hela serikalini kwa shughuli za kidini ni tofauti na kutumia hela ya serikali kwa shughuli ya kidini sehemu isiyo ya diniMimi sio mdini.. kuna vitu sizingatii... Akiona mwengine huo mwezi kwangu inatosha
Kipi boraKujengewa kanisa na serikali au mama kutoa milioni mia kuwapa kanisa au waislamu kuomba hela serikalini kwa shughuli za kidini ni tofauti na kutumia hela ya serikali kwa shughuli ya kidini sehemu isiyo ya dini
Hembu jaribu kumuuliza hili sasa ameelewa?
No,Sheikh ulitaka jtato ofisi zipambwe na vitaa taa au sio, upige ubwabwa na mapambo.
Ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuacha ufisadiKipi bora
1. Kujenga kanisa au msikiti ukapata waumini kujijenga kiimani..??
2. Kujenga zahanati isiyo na wahudumu, dawa na vitendea kazi, na matokeo yake kuwa makazi ya popo..??
Iweje yani.....No,
nilitaka angalau iwe kama ijumaa na jumatato
Hata hili linawashinda kuelewa?Iweje yani.....
Basi tutulie na tufurahi mama kujenga misikiti na makanisa... Hatuna haja ya kuwa na keleleUkiwa na hofu ya Mungu unaweza kuacha ufisadi
Kama magu vile
Ufisadi lazima ukemeweBasi tutulie na tufurahi mama kujenga misikiti na makanisa... Hatuna haja ya kuwa na kelele
Haya sheikh jioni njema.....Hata hili linawashinda kuelewa?
Na kwako ndugu piaHaya sheikh jioni njema.....
Tuwahimize mafisadi wawekeze nchini ili kutoa fursa za ajira kwa wananchiUfisadi lazima ukemewe
Mafisadi wanyongwe tuTuwahimize mafisadi wawekeze nchini ili kutoa fursa za ajira kwa wananchi