Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

1. MOU inatafutwa haikufuati ulipo

2. Nchi yetu sote, na ndiyo maana hata Rais ni muislamu. Na aliyekuwa Rais (mkristo), Mkapa aliwapa waislamu eneo lenye majengo wakakifanya kuwa chuo kikuu cha kiislamu.

3. Uadilifu au wizi dini zote wamo. Kuanzia waislamu, wakristo na hata wasio kwenye dini hizo mbili. Kile kiwanja cha waislamu pale Kibasila (DSM) kiliuzwa na wakristo? TATIZO LENU MNALALAMA KILA KUKICHA. Mikareti mnayojifunza huko misikitini wakristo wanahusika?
Mikarate itashindana na bunduki?
Ndio zile propaganda za makontaina ya mapanga na visu?
Mlihadaa wazee wa zamani ila vijana sasa wanasoma na wanaelewa
Mda utaongea

Kweli wezi wamo kila dini ila fisadi ni yule anaeambiwa wacha "kufisidi" na yeye akajibu mimi "natengeneza"

Rais muislam ndio maana mkampiga vita?

Kupewa chuo kimoja kwa vyuo kumi na moja ndio unaona sawa?

Hapo ndipo mnakosa uadilifu
 
Hayi ni wewe unasema
Mimi nimeuliza kwanini mtumie hela za serikali kwenye dini?
Walioamua kutumia ndio waliotumia... Sidhani kama kuna watu walitoka na kuomba

BTW... Serikali ni watu... Na watu ni pamoja na wakristo, waislamu, wapagani, wahindu, na wengineo
 
Mimi sio mdini.. kuna vitu sizingatii... Akiona mwengine huo mwezi kwangu inatosha
Kujengewa kanisa na serikali au mama kutoa milioni mia kuwapa kanisa au waislamu kuomba hela serikalini kwa shughuli za kidini ni tofauti na kutumia hela ya serikali kwa shughuli ya kidini sehemu isiyo ya dini

Hembu jaribu kumuuliza hili sasa ameelewa?
 
Sheikh ulitaka jtatu ofisi zipambwe na vitaa taa au sio, upige ubwabwa na mapambo.
 
Kujengewa kanisa na serikali au mama kutoa milioni mia kuwapa kanisa au waislamu kuomba hela serikalini kwa shughuli za kidini ni tofauti na kutumia hela ya serikali kwa shughuli ya kidini sehemu isiyo ya dini

Hembu jaribu kumuuliza hili sasa ameelewa?
Kipi bora
1. Kujenga kanisa au msikiti ukapata waumini kujijenga kiimani..??
2. Kujenga zahanati isiyo na wahudumu, dawa na vitendea kazi, na matokeo yake kuwa makazi ya popo..??
 
Back
Top Bottom