MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Ndio, tukiweka ujinga ujinga mwingi pembeni pale mashariki ya kati zinaongea akili kubwa tu. Hebu fikiria Iran inarusha kombora linavuka Iraq na Siria na kutua Israel tena mjini kabisa. Hata kama halijaua mtu lakini fikiria watu waliokaa mpaka wakaja na hiyo silaha! Wenzetu wanatumia akili vizuri jamani tuache masihara.
Halafu fikiria ile IRON DOME ya israel. Inakupigia hesabu kuwa hili kombora linalokuja litatua wapi na kama hiyo sehemu ina watu wanaishi basi ndio interception inafanyika. Wairan kwa kujua hilo wanavurumusha makombora mengi kwa mpigo hadi IRON DOME inakua jammed!!!! Jamani jamani wenzetu wako dunia nyingine. Sisi bado tunagawa baiskeli ili tutangaziane mikutano ya wananchi mtaani kujadili shida ya maji na tunapata mvua kila mwaka. Tuoneni aibu kidogo.
Halafu fikiria zile drone za Iran na Uturuki. Ngoma zinapenya anga bila kuwa detected na rada tena za kivita!!!!! Jamani wenzetu wanatumia akili.
Mwisho nisisitize pale mashariki ya kati akili kubwa zinaongea. Ni walioamua kuwekeza kwenye akili sio uchawa uchawa na kuabudu vyama au mwanasiasa. Akili halisi inaonekana Mashariki ya kati. Israel, Iran, Russia, Marekani, Uturuki wanaume wameacha akili ziongee.
Sishabikii vita wala vifo ila jamani mashariki ya kati akili zinaongea pale