Tukiweka ushabiki maandazi pembeni, pale Mashariki ya Kati zinaongea akili ukubwa tu!

@Mods saidia hiyo tittle badala na neo "ukubwa" isomeke "kubwa"
 
Hayo ni maswala ya Projectile Motion. Ukisha determine umbali ( range ), then unaset kombora lifumuliwe katika angle gani na speed gani. Ni physics tu hio mkuu
 
sisi

sisi wanajeshi we2 ni wataalam wavunja matofali kwa kichwa na kuvuta pikipiki kwa meno!!
 
Huku kiongozi anaitisha mkutano
Anasema kuna bonanza wakina dullard makabila watakuwepo

Ova
 
Huku kwetu uchawa tu.
 

MGOGOHALISI

Ume andika vyma sana,
Watu wa kabila zetu hizi, hatukupewa uwezo huo.
Uwezo wetu uko kwenye kusifia sifia na kujigalagaza.
Sio ajabu ukamsikia mbuge/diwani akimshukuru mama kwa hatua za iran kujibu mashambuizi israel
 
Sisi uwezo mdogo mkuu, hizo vitu zinahitaji bajeti kubwa sana.
utaalam we2 sio mdogo man!!!...wee huonagi wanajeshi we2 wanaruka kutoka kwenye helikopta kama HARMONAIZ!!!,,,,,alafu wanapigana kung fu kama BOLO YANG tena mbele ya amiri jeshi mkuu!!!....jeshi le2 noma jamaa!!
 
Hata sisi tuna akili bana. Polisi wetu anaweza akapiga risasi juu na bado ikamfuata mwanafunzi wa chuo ndani ya daladala, na mwanafunzi akafa.🀣🀣🀣🀣
 
Uzuri wetu sisi kila m2 anamlaumu mwenzake lkn ukiangalia kweny sector yake hakuna alichofanya yaan ni huzun yetu
 
Ukisoma comments kwenye huu uzi,
Unaweza kudhani hizi comments zinaandikwa na watu wa mataifa ya nje!
Kila mtu ana lalamika na kila mtu anamlaumu mwenzake na wengine wenawacheka wenzao!

πŸ˜€πŸ˜€
 
Usiku lazima uwe mrefu..
 

Attachments

  • 17278549028670.mp4
    3.1 MB
Mimi huwa najiuliza sana... ni Mungu ndyo aliamua rangi nyeupe na nyeusi(sisi) tuwe tofauti kimaendeleo kulinganisha na watu weupe? Au sisi ni wavivu wa kufikiria?

Mtu asilete habari za ukoloni hapa eti ndyo sababu za utofauti wa kimaendeleo kati yetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…