Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Unajua Saa zingine mtu Unaweza kuwa unafanya kitu Fulani Kumbe mwenzako anawaza vingine . Ndoa ina wakati in cool off na wakati things are hot ..fight for your marriage
 
Muite umwambie changamoto zako, acha kufa kijerumani kijana.
 
Sasa rafiki yangu mtu amefiwa na babu unahamia huko................. huoni kama umeenda sana deep ulitakiwa uende kuzika na kurudi siku hiyo hiyo ama uende leo uzike kesho alfajiri uondoke usingekuwa na haya malalamiko.
 
Ukiona Manyoya ujue kaliwa
 
Hivi huwa mnaoa ili mteseke !?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu.....Sasa aache shughuli za msiba...aanze kukuhudumia ww
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ndio asijue mwenzake kala Nini !?
Mbona binamu zake ana wahudumia inshort hapo Hana mke
 
Kabla hujaondoka fanya juu chini uibe simu yake bila kujua alafu soma yaliyomo
Muhimu Sana , waweza kukuta usiku halali msibani anaenda kuliwa na binamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila ushauri wa humu unatia kichwa moto

Huwa unamtia vizuri?

Yupo na Ma-Ex wake wanaomkojoza

Unasepa binamu anaitumia mpaka arobaini iishe

Zamu ya mabinamu kuhudumiwa

[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kwenda kujinyonga [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kafiwa na babu we ulienda kufanya nn...siku 3 bila kuoga msiba wa babu yake wife? Akifiwa na baba ake si ndo utakaa mpaka waanue matanga? Kweli mwanaume usipokuwa mwanaume unaliwa na wanaume.
Hata Mimi nimeshangaa angeenda siku 1 tu na kurudi ingetosha, au angekwenda siku ya matanga
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
hivi babu tu, mkwe anafunga safari....si angempa tu wife nauli na rambirambi.
halafu sijui atakua mkwe kapuku make wakwe hawashtushwi na uwepo wake
Mmeanza, [emoji1][emoji1][emoji1]
Halafu mwamba kakaa siku 3 Hana Kazi za kufanya eti !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…