First and foremost, you cannot show the place where I sought God's approval!
Second, you need to recognize that you are in a debate that has come with claims of the existence of God.
Therefore, for those of us on the other side, we must, at times, assume that this concept is true for the sake of the debate. This exercise is known as immanent critique, we use it in order to give you the opportunity to explain what you're stating.
Are you familiar with what immanent critique is?
Unahangaika kupindisha maneno hii ni kwasababu tu Mungu huyo hayupo.
Angekuwepo kweli ungekuwa ushaproof hapa.
Ninyi mnaamini kama kuna Mungu.
Ukweli ni kwamba Mungu huyo hayupo katika uhalisia. Na imani yenu ni potofu.
Mungu anaishi kama wazo tu tena kwa watu wasiojua mambo yanayoonekana magumu kuhusu ulimwengu huu.
Wewe umekuja kusema kuwa mungu huyo hawezi kuelezeka ilihali kwa kusema hivyo tu tyari umeshamuelezea kuwa haelezeki.
If God exists, why do we need books and preachers to explain Him? The fact that God cannot do it Himself is another piece of evidence that suggests God doesn't exist.