eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
-
- #101
I am seriousMkuu unamaanisha au!
Binafsi duniani sijaona mtu kama Messi,,na haitokuja kutokeaHat-trick 92 maisha yake yote
Mabao 4 mara 36 maisha yake yote
Mabao 5 mara 6 maisha yake yote
Mabao 8 mara 1 maisha yake yote
Miguu yake yote ilifunga magoli yasiyo na idadi
Kichwa chake kilifunga magoli yasiyo na idadi
Alikuwa na chenga ambazo aliemzidi ni garincha tu
Alikuwa na kasi ya sunami uwanjani
Ndiye mchezaji aliefunga bao bora kuwahi kitokea duniani santos vs juventus
Amecheza match 1385 katika maisha yake yote ya mpira kuliko mchezaji yeyote
Amefunga mabao 1280 katika maisha yake yote ya soka kuliko mchezaji yeyote
Bao lake la 1000 alifunga kwa penalty na mashabiki waliingia uwanjani kusherekea bao hilo kitu kilichopelekea mpira kusimama kwa nusu saa kuwaondoa watu uwanjani
Alianza soka la kulipwa akiwa na miaka 15 tu
Na hat-trick yake ya kwanza alifunga akiwa na miaka 15 mwaka 1956
Brazili haijawahi kupoteza match pele akiwa uwanjani
Takwimu ndio kila kitu zaidi ya hapo ni kudanganyana tu
Jamaa amechezea team 2 tu maisha yake yote huku akitumia muda wake mwingi santos
Fifa wanamtaja kama mchezaji bora kuwahi kuonekana duniani mpaka leo
Ni mchezaji pekee katika hii dunia alietwaa kombe la dunia mara tatu huku akiwa tegemeo kubwa kwa taifa lake la brazili
Mchezaji pekee aliekuwa akiumia mchezoni mashabiki wake wanamlilia mpaka arudi uwanjani
Na huyo ndiye mfalme wa kandanda duniani PELE
Ni kweli maan Messi hachezi ndondo ila huyo pelemende akifunga magori hata kwenye ndondo anaweka kwenye recordHawana akili
Hizi takwimu messi hana hata robo
Unaonyesha jinsi usivyoujua mpira ndugu
Mpira ni takwimu kama unazo toa za messi
Toa za maradona
Ili tuone kama wamemzidi Pele au laa
Sasa unaongea bila takwimu hapa nani mwenye akili atakuelewa?
Kwa sisi tunaoujua mpira duniani kwa upande wa soka Pele ni namba 1 mpaka sasa labda tumsubiri mwingine lakini sio messi wala maradona wala yeyote kwa sasa
Binafsi duniani sijaona mtu kama Messi,,na haitokuja kutokea
Ni kweli maan Messi hachezi ndondo ila huyo pelemende akifunga magori hata kwenye ndondo anaweka kwenye record
Hivi official games messi ana goli ngapi vile!?Mwambie messi pia ana 1000 na ushee Kwanzia 1994-2018.
Ukiambiwa toa takwimu unabaki unabisha tuUkitaka kujua watu wenye chuki na mfalme Messi fuatilia commets zao utajionea. Yote kwa sababu kawagalagaza wazee na vijana 😀😀
Ayatoe wapi wakati kazidiwa magoli mpaka na ronaldo wa madridMwambie messi pia ana 1000 na ushee Kwanzia 1994-2018.
Sio magoli tu ndugu vitu vingi alivyokuwa navyo pele kwa sasa hakuna mchezaji football anayemkaribiaSiku hizi mpira umekuja kuwa na judgemental za kipuuzi sana ukimuambia mtu flani ni mchezaji mzuri anakuuliza ana magoli mangapi?
Hivyo vingi ndo vya kuweka sio kutuorodheshea magoli nakusema na vingine vingi weka hapo kisha mpambanishe na messSio magoli tu ndugu vitu vingi alivyokuwa navyo pele kwa sasa hakuna mchezaji football anayemkaribia
Ina maana kusoma kwako kote umeona magoli tu hapoHivyo vingi ndo vya kuweka sio kutuorodheshea magoli nakusema na vingine vingi weka hapo kisha mpambanishe na mess