Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
Ni kweli wamepita wazuri akina Pele,Diego Maradona,Ronaldinho,Ronaldo de Lima,akina Bebeto,Romario nk..lakini Lionel messi yuko so unique!
Ukitaka Jua ubora wake angalia mambo ayafanyayo kwenye pitch, apatapo mpira..Mara nyingi huwezi jua atafanya nini!,Speed,Accuracy,Ball control,Kufunga,ku assist,akili ya mpira vyote kajaliwa,
Nina amini Messi ataendelea kukumbukwa kizazi Na kizazi, binadamu wataendelea fuatilia video za match alizoshiriki miaka mingi ijayo muda atakapokua hayupo Duniani yote sababu ya uchezaji wake wa kuvutia.
Sasa nayakumbuka Maneno ya Kocha wa Arsenal Mzee Wenger kua anavyoamini yeye uchezaji wa Lionel Messi ni sawa Na mchezaji wa kwenye machine(PlayStation)