Tukubali tu Messi Ndiye Mchezaji Mahiri Kuwahi Tokea Hapa Duniani

Dr Guitar tz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
312
Reaction score
247
Ni kweli wamepita wazuri akina Pele,Diego Maradona,Ronaldinho,Ronaldo de Lima,akina Bebeto,Romario nk..lakini Lionel messi yuko so unique!
Ukitaka Jua ubora wake angalia mambo ayafanyayo kwenye pitch, apatapo mpira..Mara nyingi huwezi jua atafanya nini!,Speed,Accuracy,Ball control,Kufunga,ku assist,akili ya mpira vyote kajaliwa,
Nina amini Messi ataendelea kukumbukwa kizazi Na kizazi, binadamu wataendelea fuatilia video za match alizoshiriki miaka mingi ijayo muda atakapokua hayupo Duniani yote sababu ya uchezaji wake wa kuvutia.
Sasa nayakumbuka Maneno ya Kocha wa Arsenal Mzee Wenger kua anavyoamini yeye uchezaji wa Lionel Messi ni sawa Na mchezaji wa kwenye machine(PlayStation)
 
lapulga[emoji145]
 
Haters lazima waje wapinge tu 😀😀😀 yani siku ukianzisha mada "Messi ni mchezaji wa kawaida kuwahi kuokea"watukuunga mkono" binadamu bwana tunaishi kuchukiana tu,,, tena bila sababu....Wabongo bana vichekesho 😀😀😀
 
Ni kweli wamepita wazuri akina Pele,Diego Maradona,Ronaldinho,Ronaldo de Lima,akina Bebeto,Romario nk..lakini Lionel messi yuko so unique!
Ukitaka Jua ubora wake angalia mambo ayafanyayo kwenye pitch, apatapo mpira..Mara nyingi huwezi jua atafanya nini!,Speed,Accuracy,Ball control,Kufunga,ku assist,akili ya mpira vyote kajaliwa,
Nina amini Messi ataendelea kukumbukwa kizazi Na kizazi, binadamu wataendelea fuatilia video za match alizoshiriki miaka mingi ijayo muda atakapokua hayupo Duniani yote sababu ya uchezaji wake wa kuvutia.
Sasa nayakumbuka Maneno ya Kocha wa Arsenal Mzee Wenger kua anavyoamini yeye uchezaji wa Lionel Messi ni sawa Na mchezaji wa kwenye machine(PlayStation)
Umesema vema mengi ila umeacha kusema KWA WAKATI HUU. Hili ni muhimu sana hasa ukizingatia kuwa nawe ni wa wakati huu.
 
Labda umeanz kufuatilia mpira baada ya dinho kuach soka
Dihno yule mpira ulimpenda kuliko alivyoupenda.
Ndio maana alikuwa anashughulika na kula starehe tu lakini akiingia uwanjani anafanya mambo ya kustaajabisha.

Messi anaupenda mpira ndio maana ana nidhamu na mazoezi na maisha yake kiujumla. Messi ni mtu hatari sana uwanjani.
 
at lease this is objective
 
Back
Top Bottom