paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
- Thread starter
-
- #41
Hata asipoitumia mkuu, nachoweza kuhitimisha ni kwamba, mpaka kina Mdee wanaenda kuapa, walisimamia kitu kinachoitwa, Barua iliyosainiwa na KM, huoni kwamba sasa ili kuhalalisha uovu wa kina Mdee ni pamoja na kutafuta ukweli juu ya Hilo mkuuWewe kwa kiwango chako unaona Mdee amefukuzwa bila utaratibu? Kwa akili yako 'saini' ya KM ni hoja ambayo Mdee anaweza kuitumia? Kabisa?
Achana naye ni porojo tuAttach hiyo barua iliyowabariki kina Halima Mdee kwenda bungeni.
Ki ufupi hatuwataki kama unaona hawakutendewa haki basi wapeleke uwape haki weweMkuu, ulichokiandika hapa ndicho nilichoshauri ndicho kiwe cha kwanza kushughurikiwa baada ya hapo kina Mdee wafuate
Aende tu Mnyika siyo mjinga kwa kiasi hichoMdee, Anasema anaenda kufungua kesi ya kufukuzwa chamani bila utaratibu, hoja yake akiijengea kwenye Saini ya katibu mkuu Chadema kwamba, barua ya uteuzi iliidhinishwa na katibu mkuu,
Hoja inakuwa, Je ni kweli ama zote hizo zilikuwa ni Mbinu za kisiasa?
Kama ni kweli, Chadema mtaficha wapi nyuso zenu?
Ni bora sasa Chadedma wangeanza kutafuta ukweli wa barua inayodaiwa kutoka Kwa KM ndipo kina Mdee wafukuzwe
Achana naye huyoWewe kwa kiwango chako unaona Mdee amefukuzwa bila utaratibu? Kwa akili yako 'saini' ya KM ni hoja ambayo Mdee anaweza kuitumia? Kabisa?
Inachukua miezi mingapi kufuatilia hicho unachosema? Ulitaka baada ya kuhojiana na ofisi ya KM waje wakupe mrejesho gani? Yaani wewe CCM maandazi ndiye ujitie kushauri? Bure kabisa!!CHADEMA isingedili moja Kwa moja na kina Mdee, badala yake ingedili na huo mfumo uliosababisha kina Mdee waape bungeni!! Yaani wafuatilie Kwanza hiyo saini inayohusishwa Kutokea kwenye ofs za CHADEMA kwamba ilitokea wapi na nani anahusika.
kama akili zako zina afya iliyo njema basi utamuelewa huyu mzeeHuo ndio ukweli, barua ya 19 Nov 2020 yenye majina ya wateule ilipelekwa na nani? Tunaambiwa ina saini ya KM alisaini kwa idhini ya nani na kama si yeye, fojali hii imefanywa na nani? sioni kiongozi wa Chadema anayehangaika kueleza hili tukawaelewa. Ndio maana tunajiuliza wateule waandamizi 19 waandamane na wapambe wao kwenda Dodoma, bila viongozi na waume zao ambao wengine ni makada wa chama wasijue? Kigogo2014 awe na taarifa viongozi wawe wamelala inawezekanaje hili?
Hii clip ina uhusiano gani na maswali niliyouliza?kama akili zako zina afya iliyo njema basi utamuelewa huyu mzee
Ndomana nikasema kama afya ipo utaelewa hayo ndio majibu ya utopolo wakoHii clip ina uhusiano gani na maswali niliyouliza?
Akiiatach niiteAttach hiyo barua iliyowabariki kina Halima Mdee kwenda bungeni.
Onyesha huo ufisadi otherwise hayo ni maneno ya khanga yanayozungumzwa na wadadaWe ni mtu usiye stuka ufisadi pia ulioko Chadema mnakoona kuko sawa, wenzenu tulishalionaga kitambo tukafunga mdomo, wewe kama ni mpenzi wa hicho chama pole kwa kutokujua au wewe ni mmojawapo pi.
Umerogwa na uchama Wewe, na iko siku unaweza kuwa kiongozi wa kitaifa na badala ya kutumikia watu na Taifa, ukatumikia Chama, Wakati mwingine usishikwe Sana na mambo ya Chama, jadili hoja!!una hara badala ya kuandika, MATAGA mna upungufu wa lishe, tangu lini mkawatetea watu mliokuwa mnawananga?
Mkuu achana na wapambe wa kitu inaitwa chama! Hata m/kiti wa Chama akijiharishia atasema, ni mfumo tu maji ulijichanganyaHii clip ina uhusiano gani na maswali niliyouliza?