Tukubali tukatae, ila anayeiweza Wizara ya Afya ni Dr Faustine Ndugulile tu

Kwa hiyo katika watanzania 60 million yeye tu ndio anaweza. Kweli kila mtu amekuwa kunguni.
 
Chezea mambo ya "Royal family"
 
Wapumbavu wanazidi kuongezeka hapa. Sijui mnazaana wenyewe kwa wenyewe!
 
Kuhusu mambo ya ferry mnamuonea tu. Yeye kama Mbunge hana uwezo wa kufanya vivuko vi perform. Uwezo wake ni kufikisha sauti yenu kwa Serikali, na kaofikisha ipasavyo.
 
Siamini kama yeye ndio suluhu pekee.
Kuto amini hulazimishwi. Ila mimi nimeangalia kwenye wabunge waliopo, hakuna mwenye CV iliyojaa uzoefu wa sekta kama Ndugulile
 
Dr Gwajima wa kujifukiza na kila siku kusema watumishi wa umma wanaiba dawa??
 
Wana kiga tunakuchora tu sasa kama kigamboni kashindwa kutatua kero mabarabara huku ni mabovu hatari shule za msingi ni chache na mji unazidi kutanuka acha na usumbufu ya vivuko na daraja na u smart wake kafanya lipi aende huko na kiga hatutaki sisi mtu asie tujali.
 
Ukiona mtu anajiita Dkt. kama huyu, ambaye hajawahi kupractise kazi iliyompa huo udaktari yaani kuingia wodini kutibu watu..atleast miaka 5..basi tilia shaka udaktari wake, huyo ni daktari wa vyeti, ukimpeleka chumba cha upasuaji afanye hata upasuaji mdogo, usishangae akizimia..sababu siyo daktari! alisoma medicine apate vyeo km anavyofanya..wala hiyo wizara ya afya haiwezi, Magufuli alimtoa unaibu waziri kwa haki kabisa hana uwezo! Kilichomrudisha na kinachomuweka na hata kugombea hicho cheo ni rushwa na hao walio nyuma yake..hajawahi kufanya lolote la kuonekana linalolingana na elimu anayodai kuwa nayo!
 
Ndio anatakiwa mwenye taatuma.
.Kwenye afya hakuhitaji siasa.
 
Kazi ya Waziri wa afya siyo kutibu au kupasua wagonjwa wodini. Bali kutengeneza na kusimamia sera madhubuti za afya
 
Sasa wewe unaonekana ni mpambe wa yule Zerobrain aliyemshinda kwenyw kura za maoni za CCM
 
Mimi namwona Dkt Gwajima
 
Kwani lazima kuajiriwa serikalini tu; anzisha Think Tank yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…