Hawana sifa za majeshi...hao ni vibaka kutoka uvccmTUNA MAJESHI MAWILI
Unajuaje wamemshinda na si yeye anayewatuma na kubariki utekaji?Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao,
Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe.
Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
NakaziaTUNA MAJESHI MAWILI
Jilinde kwa kuziba mdomo wako it won't cost you even a single shilingTukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao,
Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe.
Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
Uliwahi kumsikia Samuya au Kikwete wakikemea au kupinga utekaji na mauaji ya Watanganyika?Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe.
Hiyo ndio njia pekee,kuwa humble uwe salama au play tough wadili na weweIelewe game!
Baada ya chama kupata upinzani mkali katika kutetea dola yake,kwenye viunga vya Siri walikubaliana kupitisha Sheria ya kutoshtakiwa wanausalama wanapotekeleza majukumu yao,hizo zote ni juhudi za kuhakikisha chama kinaendelea kushika hatamu!!
Retreat by staying humble,avoid harsh activism!!
Kweli tunaishi nchi ya kishenzi, tunaongozwa na wahuni watekaji na wauaji, na watu kama wewe mko busy kuwatetea hao majambazi, hamuwezi kushinda hii vita ni swala la muda tuuJilinde kwa kuziba mdomo wako it won't cost you even a single shiling
Jukumu la kujilinda ni lako,stay away from trouble or fanya kinyume chake wakunyakue
Je inahitaji degree kulijua hili?
Tunapokupa tahadhari ujilinde ndio tunawatetea?Kweli tunaishi nchi ya kishenzi, tunaongozwa na wahuni watekaji na wauaji, na watu kama wewe mko busy kuwatetea hao majambazi, hamuwezi kushinda hii vita ni swala la muda tuu
Kundu la nguruwe acha kutisha raia,mnaandika jukwaani kama vile nyie ndio ma IGP wa mchongo kumbe ni msenge tu uko mbagala unakula mihogo ya 200 asubuhi😂😂😁mwananchi epuka mazingira yote ambayo yatakusababishia shida
So una support na unataka tuishi kwa kujificha na kuogopa, what happened to rule of law and freedom of expression, nini maana ya uhuru tuliopata 1961, mjiongeze tuache kurudishana nyumaTunapokupa tahadhari ujilinde ndio tunawatetea?
Sawa nenda tiktok au popote pale ropoka halafu uje ucomment tena hapa
Ukiona mahali maji hayakauki jua kuna chemchemTukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao,
Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe.
Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?