Wakulu mie natafuta proceedings za ile kesi ya uhaini hasa zile cross examinations alizokuwa anazimwaga Wakili Murtaza Lakha. Nilikuwa mdogo zama zile lakini nakumbuka alivyokuwa anawahenyesha mashahidi kwa maswali ya provocations.
Halafu kama kuna mtu anajua the so called shahidi X, Y and the like walikuwa akina nani? kuna mtu aliniambia shahidi X alikuwa ni Mzee Apson mkurugenzi mstaafu wa usalama not sure abt that though
Masatu said:Wakulu mie natafuta proceedings za ile kesi ya uhaini hasa zile cross examinations alizokuwa anazimwaga Wakili Murtaza Lakha. Nilikuwa mdogo zama zile lakini nakumbuka alivyokuwa anawahenyesha mashahidi kwa maswali ya provocations.
Halafu kama kuna mtu anajua the so called shahidi X, Y and the like walikuwa akina nani? kuna mtu aliniambia shahidi X alikuwa ni Mzee Apson mkurugenzi mstaafu wa usalama not sure abt that though
Mkuu Kichuguu,
Kama sikosei pale juu, kushoto ni Twalipo na kulia ni Musuguri.
Wakulu mie natafuta proceedings za ile kesi ya uhaini hasa zile cross examinations alizokuwa anazimwaga Wakili Murtaza Lakha. Nilikuwa mdogo zama zile lakini nakumbuka alivyokuwa anawahenyesha mashahidi kwa maswali ya provocations.
Halafu kama kuna mtu anajua the so called shahidi X, Y and the like walikuwa akina nani? kuna mtu aliniambia shahidi X alikuwa ni Mzee Apson mkurugenzi mstaafu wa usalama not sure abt that though
Kusema kweli tulianza kuchangaya mambo kwenye hii sekta siku nyingi. Angalia hio address ya jamaa kwenye hati. Nadhani USA ndio home lakini Dar na Kenya sijaelewa
huyu bwana jina lingine alikuwa anaitwa kitambi alifukuzana na polisi baadaye alidandia gali la kampuni ya bia na kuanza kuwarushia chupa. Aliuwawa na mwanajeshi mmoja ambaye alikuwa afisa usalama. Walikuwa wengi timu yao akina zera banyikwa na mzee mwenyewe banyikwa akina mchwampaka1.
kama ninakumbuka vizuri hawa walikuwa kina mzee ngaiza, uncle tom lugakingira, kina the mcghee ndugu wawili kutoka jeshi la kikosi cha anga, pia mkulu wangu bob bayona, halafu kulikuwa na mwanajeshi mmoja wa cheo cha liutenant ambaye ndiye hasa aliyekuwa chanzo cha kushikwa kwao, walimshikia kwenye magorofa ya ubungo, wengine siwakumbuki,
- nikweli uncle tom, alitoroka jella ya ukonga na kwenda london, ni mistery ambayo mpaka leo haijawahi kuwa-explained na serikali, lakini nasikia tu kuwa pia kulikuwa na m-israeli mmoja kati yao ambaye siku walipompeleka ukonga, aliwaambia wazi kuwa by kesho atakuwa ameondoka maana ile jella was nothing kwake, na ni kweli aliondoka usiku ule na uncle tom.
2.
hii kitu ninaikumbuka pia ingawa ni siku nyingi sana, kwa sababu kuna siku huyu bwana alihisiwa kuonekana ndani ya hotel ya new african hotel, ile sehemu yote ikazibwa, wananchi tukawa tumezunguka kutka kujua kinachoendelea,
kwa jina la mtaaani alikuwa akijulikana kama "nyau", sikumbuki jina lake kamili kwa sababu halikuwa likitajwa kabisaa, alikuwa mkazi wa kionondoni ni kweli siku moja alikutana uso kwa uso na maa-agent, na kuwapa a good piece of history ya namna ya kutumia bunduki kwenye maeneo ya kinondoni karibu na pale kwenye kituo kikubwa cha mabasi zamani pakiitwa muslim schoool, by the time ameanguka chini kulikuwa na maa-agent kama watano aliowapumzisha chini,
exactly who was "nyau", mpaka leo sina uhakika kama kweli alikuwa comandoo, au jambazi tu aliyejihusisha na the so called wahaini ambao baadaye wote waliachiwa huru.
Ramani ya mahali ilipopatikana Tanzanite
Field Marshall Es,
Unajua ninaposoma kuhusu Guinea inanikumbusha sana Biafra na yule mkulu wao UJUKWU... ajabu kinachonishangaza ni kwamba Biafra walitaka kujitenga na sisi Tanzania tuli support kitendo kile ambacho matokeo yake walikufa watu kama millioni...
1. naomba kama kuna mtu ana picha za Ojukwu na mwalimu..
- Hivi Ojukwu akaingia mitini... hvi kafia wapi komandoo yule..
2. Hivi kuna tofauti yoyote ya sehemu (land) kati ya Niger Delta na Biafra? au ndio hiyo hiyo, wamerudi na mbinu mpya..
Mkandara,
Wakati Tanzania inatambua Biafra nilikuwa Agha Khan Secondary School, ambayo baadaye mliita Tambaza. Sisi wanafunzi wa Kiafrika wote tuliounga mkono kujitenga kwa Biafra, lakini Wahindi, wakikumbuka kutenganishwa kwa India na Pakistan, walipinga kwa dhati. Ojukwu bado yupo. Kilichosababisha Biafra kujitenga, ni pogrom waliyofanyiwa Waibo ambao ndio walikuwa kama Mayahudi wa Nigeria, hasa katika eneo la kaskazini mwa nchi baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1966. Alichofanya Mwalimu, alifunga safari kukutana na Jemadari Gowon, akamsihi wajadiliane na Ojwuku, watafute muafaka kwa mauaji yaliyokuwa yanaendelea. Gowon akakataa akisema hawezi kujadiliana na "junior officer." Unajua tena arrogance ya Sundhurst graduates. Mwalimu akaenda Ivory Coast kukutana na Houphoet Boigny ikaamuliwa kuwa Biafra itambuliwe kama njia ya kum "pressure" Gowon akubali kujadiliana na Ojwuku. Zambia na Haiti nazo zikaitambua Biafra. Lakini unajua ndugu yangu mambo haya hayawezi kumalizika bila mwingilio wa wakubwa. Uingereza ilishajua kuwa kuna mafuta huko Biafra na haikutaka kuiachia Ufaransa inufaike na mafuta hayo kwa hiyo walimsaidia Gowon juu chini kuwamaliza Wabiafra. Ufaransa ilikuwa upande wa Biafra. Marekani was neutral. Actually a lot of fundraising by Biafran students was done in the US. Siku ambayo Tanzania imeitambua Biafra ilikuwa easter. Mwalimu alialikwa nyumbani kwa Butiku and I happened to be there, pamoja na akina Mgaya, na Mzee Munanka (rip) Butiku alikuwa na telegrams nyingi kutoka sehemu mbalimbali zikimpongeza Mwalimu kwa msimamo huo lakini Mwalimu alikuwa na swali moja tu: "will Africa understand?" Alilirudia hilo swali mara kadhaa.
Hii ya Delta nadhani ni uchungu wa kuona kuwa federal government inatajirika na mafuta ya eneo hilo wakati ambapo wakazi wa eneo wamefunikwa na ufukara uliokithiri. They want a share of the pie.
1.
Mkuu Jasusi,
Lakini nina wasi wasi kuwa kwenye ku-support Biafra, we were wrong na kama sikosei kuna wakati Mwalimu, akiwa hai aliwahi ku-apologize for, I mean leo Mwanza wanataka kujitenga na Tanzania, halafu ije nchi nyingine iwa-support, that was very wrong nafikri hata standing yetu katika international world Affairs, ninaamini tulichukua a bite kidogo, halafu pia ilitu-cost sana economically kwa sababu japo nilikuwa mdogo sana lakini ninakumbuka ile michango ya kusaidia Biafra,
Lakini ashante sana kwa kipande zaid cha historia.
States are made to serve people; governments are established to protect the citizen of a state against external enemies and internal wrong-doers. It is on these grounds that people surrender their right and power of self-defence to the government of the state in which they live. But when the machinery of the State, and the powers of the Government, are turned against a whole group of the society on the grounds of racial, tribal or religious
prejudice, then the victims have the right to take back the powers they have surrendered, and to defend themselves.
For while people have a duty to defend the integrity of their state, and even to die in its defence this duty stems from the fact that it is theirs, and that it is important to their well-being and to the future of their children. When the state ceases to stand for the honour, the protection, and the well-being of all its citizens, then it is no longer the instrument of those it has rejected. In such a case the people have the right to create another instrument for their protection - in other words, to create another state.
This right cannot be abrogated by constitution, nor by outsiders. The basis of statehood, and of unity can only be general acceptance by the participants. When more than twelve million people have become convinced that they are rejected, and that there is no longer any basis for unity between them and other groups of people, then that unity has already ceased to exist. You cannot kill thousands of people, and keep killing more, in the name of unity. There is no unity between the dead and those who killed them; and there is no unity in slavery or domination.
Africa needs unity. We need unity over the whole continent, and in the meantime we need unity within the existing states of Africa. It is a tragedy when we experience a setback to our goal of unity. But the basis of our need for unity, and the reason for our desire for it, is the greater well being, and the greater security, of the people of Africa. Unity by conquest is impossible. It is not practicable; and even if military might could force the acceptance of a particular authority, the purpose of unity would have been destroyed. For the purpose of unity, its justification, is the service of all peoples who are united together. The general consent of all the people involved is the only basis on which unity in Africa can be maintained or extended.
We therefore recognise the State of Biafra as an independent sovereign entity, and as a member of the community of nations. Only by this act of recognition can we remain true to our conviction that the purpose of society and of all political organisation, is the service of man.
Dar-es-Salaam,
13th April, 1968.