William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
- #461
Ikarus Kumba Kumba, yalikuwa ni kutoka Hungary, mkuu ahsante sana kwa hii historia, ubarikiwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mchongoma,
...4. Nilipata nafasi ya kumuaga kwenye maombolezo, baada ya kutangulia kwake kwenye haki, na ameacha watoto imara sana na ninaamini kuwa mmoja wao atabeba tochi ya njia siasa, na Mungu amuweke mahali pema peponi.
A True African Hero!
Mkuu huyu balozi, ninajua kuwa alikuwa na mtoto wake mmoja aliyekuwa ofisa wa ubalozi wetu pale Brussells, in the early 90s,
sikujua kuwa baba yake aliwahi kuwa balozi, duh ahsante kwa hiki kipande, nitazitafuta habari za baba yake leo.[/QUOTE
FMES,
Mtoto wake unayemsema hivi sasa ni afisa wetu wa ubalozi Ottawa, Canada.
Yes, hata mimi nimesikia kuwa marando ndo aliyemuua M. Tammim.
Hizo ni habari za kweli kabisa.....Ushahidi upo. Na Mabere Marando mwenyewe anajua yaliyotokea pale Kinondoni kwenye gari la Bia.
Ikarus Kumba Kumba, yalikuwa ni kutoka Hungary, mkuu ahsante sana kwa hii historia, ubarikiwe!
Ila nasikia hata kununua hizo Kumbakumba jamaa aliyenunua na yeye ghafla akawa na mabasi sijui mawili ya Ikarus? Hizi 10% zimeanza siku nyingi? Ila siku hizi hata TARISHI anafahamu na anataka.
Sina hakika sana na Mrema, lakini Marando?....ndiye mwenyewe. Hadi mama yake mzazi Mohamed Tamim anafariki in early 2000s, alikuwa so proud to her son for that. Alikuwa tayari kumweleza yeyote atakayesikiliza stori ya mwanawe, tokea anapewa last warning na mwanawe kuwa asikilize redio within following weeks, hadi alipopelekwa mochwari Muhimbili kuutambua mwili wa mtoto wake. Lakini wapi hakukuwa na mwandishi yeyote aliyejaribu kumuinterview kwa stori hiyo. Ni alikuwa bibi mmoja mcheshi mno pale Tanga mjini. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Aaaamin!!Nasikia na Mrema pia alihusika na ile operation, au?
Mwanzange said:Sina hakika sana na Mrema, lakini Marando?....ndiye mwenyewe. Hadi mama yake mzazi Mohamed Tamim anafariki in early 2000s, alikuwa so proud to her son for that. Alikuwa tayari kumweleza yeyote atakayesikiliza stori ya mwanawe, tokea anapewa last warning na mwanawe kuwa asikilize redio within following weeks, hadi alipopelekwa mochwari Muhimbili kuutambua mwili wa mtoto wake. Lakini wapi hakukuwa na mwandishi yeyote aliyejaribu kumuinterview kwa stori hiyo. Ni alikuwa bibi mmoja mcheshi mno pale Tanga mjini. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Aaaamin!!
Mkuu ni kweli, yule jamaa liyeenda kuyaleta alipatiwa mabasi mawili nusu sio marefu kama haya, lakini ninaamini kuwa enzi zile ilikuwa ni procedure za viwanda vingi na makampuni makubwa sana huko majuu, haikuwa rushwa wala hongo,
ninakumbuka hata yale mabasi yalipokuja kuna waliotaka kumletea noma kwenye kipindi cha Radio kama unakikumbuka cha Mikingamo, lakini in the end wakaishia kumuachia mabasi yake,
However, mimi ninaheshimu sana one thing kwamba nenda pamoja na waliokuwa wanachukua 10%, angalau kulikuwa na something to show kwa wananchi na taifa, lakini siku hizi hawa wanakula mpaka mbegu bwana!
Aaahggggrrr hawafai kabisa hawa wa sasa!
Ila nasikia hata kununua hizo Kumbakumba jamaa aliyenunua na yeye ghafla akawa na mabasi sijui mawili ya Ikarus? Hizi 10% zimeanza siku nyingi? Ila siku hizi hata TARISHI anafahamu na anataka.
Mabasi aliyopewa bwana Mahimbo yalichukuliwa na UDA kwa sababu mbili: Kwanza alifanya makosa kuyaacha yakaletwe yakiwa na rangi nadhani pamoja na nembo ya UDA. Pili serikali ilisema kuwa mabasi hayo yalitolewa na Ikarus kama bakshishi kwa mteja wake, ambaye alikuwa ni UDA siyo Mahimbo; yeye alikuwa ameiwakilisha UDA tu.
..taratibu za utumishi wa umma zinaelekeza kwamba zawadi kama hiyo inapaswa kuwa-surrendered serikalini.
..kwa jinsi hali ilivyokuwa wakati ule siamini kama huyo meneja alithubutu kuyachukua mabasi hayo.
..tatizo kubwa lilikuwa ni "zawadi za wananchi" kwa viongozi wanapotembelea mikoani na wilayani.
..wananchi walikuwa wakilazimishwa kutoa zawadi kama mifugo na mazao kwa viongozi wa chama na serikali waliowatembelea.
..Mzee Mwinyi alikuja kuusitisha utamaduni huo ambao kwa kweli naona ulikuwa unyonyaji wa mchana kweupe.
NB:
..viongozi pia walikuwa na tabia ya kujichotea bidhaa za viwandani kila walipofanya ziara zilizokuwa zikiitwa "ziara za ukaguzi."
..taratibu za utumishi wa umma zinaelekeza kwamba zawadi kama hiyo inapaswa kuwa-surrendered serikalini...kwa jinsi hali ilivyokuwa wakati ule siamini kama huyo meneja alithubutu kuyachukua mabasi hayo.