Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

2667175.jpg
 
1stcabinet.jpg

The Cabinet of independent Tanganyika beginning to look African. Paul Bomani second row standing between J.K. Nyerere and Chief Abdallah Fundikira
 
Inabidi tukautafiti utaalamu huu badala ya kunga'nga'nia walichotuambia wanahistoria wa Kikoloni pale waliposema kuwa hatujawahi kuwa na uwezo wa kuvumbua kitu chochote cha kiteknolojia.

Hapo umenena mkulu; nakumbuka sana na lile somo letu la historia pale shule ya msingi eti kuna yule mzungu gani sijui hata jina lake silikumbuki eti kaja kuuvumbua mlima Kilimanjaro; Hivi kweli wenyewe wenyeji wa kichaga na kimasai pale walikuwa hawajapata kuuona au kujua ule unaitwa mlima? Hizi ni kasumba tu.....
And vile vile wakulu FMES, Kichuguu na wengineo; mlijuaje kama tulikuwa tunataka kukumbuka kuleeee tulikotokea? Hii safi sana, Huu ni moto chini sasa; Kanyaga twende wakulu......
 
And vile vile wakulu FMES, Kichuguu na wengineo; mlijuaje kama tulikuwa tunataka kukumbuka kuleeee tulikotokea? Hii safi sana, Huu ni moto chini sasa; Kanyaga twende wakulu......


Mkulu Mwannzage,

Heshima mbele mkuu, mimi binafsi nilisikitishwa sana na hotuba ya Rais wa Jamhuri majuzi bungeni, halafu isitoshe kuna kiongozi mmoja fisadi mkubwa sana baada tu ya ile hotuba alinitumia ujumbe mzito sana kwa e-mail akinicheka sana na kuniuliza kikowapi?

Baada ya mauvo yote tuliyoyaona hapa nchini katika miaka miwili ya utawala wa Rais wa sasa, kamati zote zilizoundwa kuchunguza maovu hayo na ukweli unafahamika wazi, shujaa DR. Slaaa ameweka wazi uovu wa mafisadi hatari wa taifa hili, leo Rais after all this anakuja kuongelea maji ya sharubati! That was the biggest joke of our political time, kama sio a political joke of a century. Halafu sasa hivi wako USA, this time kwa ujeuri wao wameenda mpaka na watoto wao sijui kama wananchi mnalijua hilo?

I thought hard about it, nikakubali within my soul kuwa hapa tumepigwa changa wa jicho, na tunahitaji kubadili strategy so far sijajua what to do next, lakini wazo moja lilonijia ni kwamba huyu Rais anachukulia ustaaarabu wetu wananchi for granted, hasemi wazi lakini ndio hasa hoja yake nzito kuwa sisi wananchi tutafanya nini? Mmezoea kuishi kwa kudanganywa na wanasiasa mimi sio wa kwanza, nikasema basi angalau tutamuonyesha kwa picha kuwa yeye na viongozi wake wasaidizi, si kweli kwamba wanafanana na viongozi wetu wa zamani, na binafsi nikaamua kupumzika kuchangia siasa kwa muda, kama sio permanent,

So far nimesikia makelele mengi sana toka huko juu na hii topic kwamba ninajaribu kuwaa-undermine, ninasema whatever, huu mjadala utaendelea tu na picha zitawekwa na wananchi wanajionea kwa macho yao, ingawa picha hazisemi lakini kuna a serious political message kuhusu taifa hili mwananchi unaiona katika kuziangalia hizi picha.

Ahsante Kwa Wakuu Wote Mliochangia hii Topic na ninasema kuwa ndio kwanza tumeanza maana picha ni bado kabisaa zinakuja.

By the way Mkulu Mwanzage, nimeupata ule mzigo nitakutwangia later, Shukrani.
 
Mkuu Mchongoma,

Ahsante sana kwa hizo picha za "Mmasai", ambaye enzi hizo walioweza kuwa naye walikuwa wazazi wetu tu, tena strickly mwisho wa mwezi tu!

no way ungeweza kumkuta kijana mdogo na "Mmasai" maana ilikuwa ni hela kubwa sana, tena sana no way mtu akakupa hivi hivi tu! au akaangusha njiani, ninasema no way!

Duh! heshima mbele bro!
 
Mkuu mchongoma hapa umekuwa mchokozi; hiyo picha ya tatu ni kali nilikuwa sijaiona.....kumbe walikuwa wanambeba muheshimiwa?.....kwikwikwi!!!! Huyu jamaa alikuwa kiboko!
 
Mkulu Mwazange,

Heshima mbele mkuu, mimi binafsi nilisikitishwa sana na hotuba ya Rais wa Jamhuri majuzi bungeni,

By the way Mkulu Mwazange, nimeupata ule mzigo nitakutwangia later, Shukrani.

Mkulu nina imani tunamjua kamanda in chief wetu; 'msanii'. Waliompigia kura wanakosa mahitaji muhimu ya lazima ya maisha yao na yeye anaongelea maji ya sharbati; kazi tunayo.
Halafu si unajua tena niliutuma ule mzigo lakini nikasahau kukutwangia! 'I'm fired' anyway nilikuwa na wasiwasi wa kufika in one piece; kama umefika salama basi haina shida tutwangiane later.
 
nimependa sana hii thread kwa kweli inatupa changamoto

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • jk4.jpg
    jk4.jpg
    4.2 KB · Views: 780
  • askari monoment.jpg
    askari monoment.jpg
    18.9 KB · Views: 1,162
  • mwalim.jpg
    mwalim.jpg
    24.5 KB · Views: 965
  • mwalimu.jpg
    mwalimu.jpg
    38.1 KB · Views: 778
  • mwalimu & malecela.jpg
    mwalimu & malecela.jpg
    16.2 KB · Views: 762
  • state-house-bc.jpg
    state-house-bc.jpg
    29 KB · Views: 763
  • samora & mwalimu.jpg
    samora & mwalimu.jpg
    28.7 KB · Views: 1,545
  • new africa hotel.jpg
    new africa hotel.jpg
    16.7 KB · Views: 760
  • nduli.jpg
    nduli.jpg
    23 KB · Views: 769
Hivi Mwalimu aliacha lini kuvaa KOTI na TAI?

Nafikiri right around ile safari ya muda mrefu ya china. Nina imani walimshauri kuwa ni mambo ya kimagharibi......Sio ujamaa na kujitegemea kama alivyokuwa anataka kueneza. I might be wrong!
 
jamani wako wapi magavana kama ndugu yetu GILMAN RUTIHINDA leo mpaka shule iliyopewa jina lake inasadifu wasifu wake!!
je,hakuna vuiongozi tena kama hawa!!??
attachment.php
 

Attachments

  • Rutihinda.jpg
    Rutihinda.jpg
    5.5 KB · Views: 1,338
jamani wako wapi magavana kama ndugu yetu GILMAN RUTIHINDA leo mpaka shule iliyopewa jina lake inasadifu wasifu wake!!
je,hakuna vuiongozi tena kama hawa!!??

Sana tu nina imani hata kaburi lake pale Buguruni litakuwa linaheshimika.
 
Mwanzilishi FMES na wachangiaji wengine wote. Thread hii imneivutia sana kwa kutukumbusha tulikotoka. Ngoja sasa niwageuzie upande wa mpira wa Miguu. Kwa bahati mbaya wachezaji wengi siwafahamu kwa vile tulizowea kukariri majina zaidi wakati huo. Anayejua majina asaidie kutukumbusha.


Hii ni Timu ya African Sports ya Tanga mwaka 1974: Waliopo ni pamoja na kipa Omar Mahadhi, Mwabuda, Sharif, Abdallah Luo(mrefu) Hemedi Seif, Omar Zimbwe, Zacharia Kinanda

attachment.php

Na hii ni Coastal Union ya Tanga mwaka huo huo wa 1974. Waliopo ni pamoja na Salim Amri, Jalala, Omar Bafadhili, Mohamed Salim.

attachment.php

Hii ni timu ya yanga wakiwa ziarani Brazil mwaka huo huo wa 1974; waliopo ni pamoja na Bona Max, Maulid Dilunga, Michael Clement, Moshi Dayan na Gibson Sembuli, Leodgar Tenga, Athumani Kilambo, Elias Michael, Said Sanga, Abdulrahman Juma na Omar Kapera. Nadhani kuwa sunday Manara alikuwa keshaenda Austria kucheza kandanda ya kulipwa wakati huo.

attachment.php


Sikuweza kupata picha za Simba na Cosmo wakati huo. Nadhani timu za Red Devils na Pan African zilikuwa hazijaanzishwa mwaka huo wa 1974.
 

Attachments

  • Yang1974.jpg
    Yang1974.jpg
    41.9 KB · Views: 1,293
  • cOASTAL.jpg
    cOASTAL.jpg
    40.5 KB · Views: 1,344
  • aFRICANsPORTS.jpg
    aFRICANsPORTS.jpg
    31.3 KB · Views: 1,357
hizi note nazo ni sehemu ya historia yetu
 

Attachments

  • TZS100c_Front.jpg
    TZS100c_Front.jpg
    36.5 KB · Views: 293
  • TZS100c_Back.jpg
    TZS100c_Back.jpg
    32.1 KB · Views: 239
  • TZS100b_Front.jpg
    TZS100b_Front.jpg
    27.8 KB · Views: 229
  • TZS100b_Back.jpg
    TZS100b_Back.jpg
    27.3 KB · Views: 228
  • TZS100a_Front.jpg
    TZS100a_Front.jpg
    25.5 KB · Views: 233
  • TZS50a_Back.jpg
    TZS50a_Back.jpg
    21.1 KB · Views: 228
  • TZS50a_Front.jpg
    TZS50a_Front.jpg
    19.5 KB · Views: 217
  • TZS50b_Back.jpg
    TZS50b_Back.jpg
    23.9 KB · Views: 212
  • TZS50b_Front.jpg
    TZS50b_Front.jpg
    26.1 KB · Views: 223
  • TZS100a_Back.jpg
    TZS100a_Back.jpg
    22.8 KB · Views: 226
  • TZS20b_Front.jpg
    TZS20b_Front.jpg
    25.2 KB · Views: 220
  • TZS20b_back.jpg
    TZS20b_back.jpg
    24 KB · Views: 218
  • TZS20a_Front.jpg
    TZS20a_Front.jpg
    33.5 KB · Views: 219
  • TZS20a_back.jpg
    TZS20a_back.jpg
    29.1 KB · Views: 224
  • TZS10b_Front.jpg
    TZS10b_Front.jpg
    27.8 KB · Views: 218
  • TZS10a_Front.jpg
    TZS10a_Front.jpg
    26 KB · Views: 231
  • TZS10a_Back.jpg
    TZS10a_Back.jpg
    22.3 KB · Views: 225
  • TZS5_Back.jpg
    TZS5_Back.jpg
    22.1 KB · Views: 205
  • TZS5_Front.jpg
    TZS5_Front.jpg
    22.7 KB · Views: 233
viongozi wa zamani kwa nini walikuwa hawana matumbo makubwa?
 
Kuna wakati Tanzania ilikuwa ni powerhouse ya kusini mwa afrika. Kila mara viongozi wa kusini walikuwa hawakosi kuja Dar kupata tutorials.

attachment.php

Kaunda na Machel wamefuata tutorial kwa mwalimu (Mkapa yupo pale nyuma, alikuwa hawajawa fisadi wakati huo)

attachment.php

Machel na mrembo wake wanajifanya kuja kumsalimia mwalimu lakini kumbe Samora amefuata tutorial


attachment.php


Viongozi wa kusini mwa Afrika wako nyumbani kwa mwalimu kusikiliza somo (Mugabe hakuwa na ubabe alio nao sasa hivi)

attachment.php

Mara baada ya kutoka jela, Mandela na mrembo wake Winnie walitua Dar kabla ya hawajaenda nchi nyingine yoyote. Sababu moja ni kuwa Mandela alikuwa anafuata tutorial kwa mwalimu.
 

Attachments

  • powerhouse.jpg
    powerhouse.jpg
    41.5 KB · Views: 1,035
  • HEADS.jpg
    HEADS.jpg
    52.7 KB · Views: 953
  • WINNIE.0.jpg
    WINNIE.0.jpg
    59.5 KB · Views: 980
kingunge alipokuwa kijana anaonekana hapa
 

Attachments

  • africa+wasn.jpg
    africa+wasn.jpg
    17.2 KB · Views: 655
  • kingunge.JPG
    kingunge.JPG
    11.3 KB · Views: 1,074
Nikiwa mmoja wapo; nimemlaumu sana Kambarage kutokana na mambo yaliyotusibu sisi watanzania kama mahindi ya njano na mengineyo, lakini kitu kimoja nampa big Up mzee Kifimbo, ushauri! Tanzania tulikuwa washauri na 'Big brother' kwa nchi nyingi kusini mwa jangwa la sahara. Kitu kidogo kikienda mrama tu, haoooo wanakimbilia Tanzania wanajua watakuja kuwekwa sawa. siku hizi hayo yamepotelea wapi? Ina maana Kambarage kaenda nayo kaburini au ni viongozi wa sasa wanajishughulisha sana na mabiznes diliz wamesahau kuwa kuna kitu kinaitwa kuongoza? mtu na anisaidie....
 
Back
Top Bottom