Mwazange
JF-Expert Member
- Nov 16, 2007
- 1,056
- 82
No mkuu naomba kupingana na wewe katika hili. Ni katika yalee ya kukumbushana zilizopendwa katika Taifa hili. Mbona suala hili lipo wazi tu halina ubishi. Na wakati ule huyo muheshimiwa alipojiingiza kwenye siasa, alishawahi kuulizwa suala hilo wakati wa kampeni katika mkoa fulani nyanda za juu kaskazini; akajiumauma hakutoa majibu yaliyonyooka.wana jamboForums,
..nadhani suala la kukamatwa Tamimu lilikuwa ni secret-operation na nadhani siyo vizuri kuwataja kwa majina wale waliohusika.
..naamini Afisa Usalama yeyote aliyehusika katika operation hiyo alikuwa mtu wa chini sana na alikuwa akitekeleza amri na maagizo ya wakubwa wake wa kazi.
Ni mada tu imeibuka katika kijiwe hiki, na kama zilivyo nyingine ambazo wadau huchangiachangia kutokana na kumbukumbu zao. Au umeguswa binafsi nini mkulu? sema kama imekugusa na unashauri tuiachilie hapa hapa kamanda, nitaheshimu ombi lako.


