Kumbe? Nashukuru. Ndo hivyo tumshukuru Mungu tupo hai. Kila nikiulizia wenzangu nasikia wametangulia. We acha tu. Mtoa uzi asante umetukumbusha mbali. cc MbereWewe ni wa umri wangu tumshukuru Mwenyezimungu bado tuko hai.
Ile alama ninayo pia na ilikuwa ni chanjo ya NDUI..
Hivi mkojo wa punda bado upo? Waliharibu walipoanza kuleta cofta za Kenya huo mkojo wa punda ukawa hauuziki. Ila tulikuwa tunapewa dispensary tu nadhani.Inaitwa MES
MMMh...cna uhakika sana kama ipo..................Hivi mkojo wa punda bado upo? Waliharibu walipoanza kuleta cofta za Kenya huo mkojo wa punda ukawa hauuziki. Ila tulikuwa tunapewa dispensary tu nadhani.
Mambo ya KUVIMBIWA (Tumbo kujaa gasi)...........sijui kama watoto wa siku hizi wanajui Kuvimbiwa........kwa sababu kushiba kwenyewe ni mpaka ujazie na maji.......Andrews (sina uhakika na spelling) Dawa ya tumbo,ni ya unga unaitia kwenye maji inafanya kama kuchemka kisha unainywa faster.
Barakuva, shubiri na muarobaini
Haaaa.duh nimecheka sana hiyo yomboo bmkubwa ananituma yomboo wanapaka kufanya nywele kuwa nyeusiYomboo, dawa ya kulainisha nywele.
IPO mkuu ila ina jina tofauti , niijaribu mwezi 1 uliopita ila sii kama AndrewsMambo ya KUVIMBIWA (Tumbo kujaa gasi)...........sijui kama watoto wa siku hizi wanajui Kuvimbiwa........kwa sababu kushiba kwenyewe ni mpaka ujazie na maji.......
Penaduu bado IPO?Xpen, inauma balaaa au PPF kwa gono