Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

Wewe ni wa umri wangu tumshukuru Mwenyezimungu bado tuko hai.
Ile alama ninayo pia na ilikuwa ni chanjo ya NDUI..
Kumbe? Nashukuru. Ndo hivyo tumshukuru Mungu tupo hai. Kila nikiulizia wenzangu nasikia wametangulia. We acha tu. Mtoa uzi asante umetukumbusha mbali. cc Mbere
 
Andrews (sina uhakika na spelling) Dawa ya tumbo,ni ya unga unaitia kwenye maji inafanya kama kuchemka kisha unainywa faster.
Mambo ya KUVIMBIWA (Tumbo kujaa gasi)...........sijui kama watoto wa siku hizi wanajui Kuvimbiwa........kwa sababu kushiba kwenyewe ni mpaka ujazie na maji.......
 
Mmavimavi dawa ya minyooo.............Majani yanapondwa yanakamuliwa juice yake yanawekwa kwenye nanihiiiiiiii........ukiwa kichwa chini porini..... maisha ni safari ndefu......!!!
 
Kisubiti upele!!! Ilikuwa vidonge vya njano vinauzw sokoni! Unasaga then unawekea kwenye kidonda! Angalizo inanuka hatar
 
Salimia liniment, dawa ya kupunguza maumivu ya misuli
Salimia ilikuwa inamwagwa kwenye Maji ya moto , unajifukiza , dawa ya homa hiyooo
 
Wewe ni wa umri wangu tumshukuru Mwenyezimungu bado tuko hai.
Ile alama ninayo pia na ilikuwa ni chanjo ya NDUI..
Mbona kama mwanangu, 2014 alipata chanjo inayoacha alama ya ndui
 
Mambo ya KUVIMBIWA (Tumbo kujaa gasi)...........sijui kama watoto wa siku hizi wanajui Kuvimbiwa........kwa sababu kushiba kwenyewe ni mpaka ujazie na maji.......
IPO mkuu ila ina jina tofauti , niijaribu mwezi 1 uliopita ila sii kama Andrews
 
Xpel, dawa ya kuua mbu na wadudu wengine
 
Back
Top Bottom