Kumbe? Nashukuru. Ndo hivyo tumshukuru Mungu tupo hai. Kila nikiulizia wenzangu nasikia wametangulia. We acha tu. Mtoa uzi asante umetukumbusha mbali. cc MbereWewe ni wa umri wangu tumshukuru Mwenyezimungu bado tuko hai.
Ile alama ninayo pia na ilikuwa ni chanjo ya NDUI..