Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Hii itakua akili ya bia, hujui unenalo or story za vijiweni...haya tutajie kambi zote za jeshi alizozijengea magorofa ukiacha za Daslama ambazo nazo sio zote na hayo magorofa aliyojenga ambayo wajeda wanayaita vibiriti.[emoji119][emoji119][emoji119]. Umesahau mafanikio mengine ya JK ni;
1. Magorofa ya makazi ya wanajeshi kila kambi nchi nzima
2. Usafiri wa polisi nchi nzima (Land Cruiser 1200)
3. Vituo vya afya nchi nzima
4. Vyuo vikuu kutoka 8 hadi 40 nchi nzima
5. Mikopo ya elimu ya juu mpaka kufikia [emoji817]
Au hivyo vio vikuuu 40, kabla ht hatujaenda kwenye ma land cruser, maana huyu mtu wenu alinununua magari ya kuwashawasha 700 kwa ajili ya uchaguzi na baada ya hapo hayajawahi kutumika popote.
And last hili swala la mikopo linanipa mashaka na Elimu yako, km sijakosea utakua chuo kikuu unakiskia tu redioni maana sisi tulisoma chuo na kufukuzwa chuo mara2 2006/2007 baada ya JK kubadili utaratibu wa mikopo ulioachwa na Mkapa wa 100% mpaka kwenda kwa ma group ya A-100%, B-80%, C-60% na kwa wale waliosoma private kukosa kabisa mikopo tunakushangaa.