Tukumbushane kazi alizofanikisha Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Tukumbushane kazi alizofanikisha Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Wewe utakuwa mgonjwa wa akili kabisa!
Yaani miradi yote iliyotajwa izidiwe na Bwawa la Nyerere? You are kidding!

By any standard,kwenye public infrastructure,hakuna raisi wakumzidi Kikwete. Kikwete alijenga miundombinu mingi mno zikiwemo zaidi ya kilomita 14,000 za lami.

Huo mradi wa Bwawa la Nyerere unaweza kulingana na barabara za lami kilomita 1,500 tu!
Huyu jamaa ni kilaza wakutupwa kwaza magufuli wake mpaka anafariki sidhani kama hilo bwawa limaliza tilioni hata moja
 
Wewe ndio mgonjwa wa akili...as we speak Tanzania ina km 12k za tarmac road(source Tanroads)...izo 14k alijenga hewani?
km awamu zote zimejenga 12k, yy amejenga 14k, hao maraisi wengine walijenga km ngapi?
lets say hawakujenga kabisa, izo 2k za ziada zimepotelea wapi?
Ulivyo kilaza hujui ht km 1Km ya Lami ina cost how much na lile bwawa limetu cost how much.
Kifupi 1km of a tarmac road ni 1B so izo 1500k zitacost 1.5T while lile bwana litatucost 6T.
Now tafta thamani ya hio miradi iliyo orodheshwa hapo juu do the add uone km inafika 6T.
JF is a home of Great thinkers not vilaza km ww, rudi fb huku umepotea...[emoji1787][emoji1787]
km 15000 ni tilioni 1.5 mzee uko serious kweli weww?
 
List ya magufuli
1)Machinjio ya vingungut
2)Sgr
3)Bwawa la umeme
4Meli mbili Ziwa tanganyika
5)Meli mbili Ziwa nyasa
6)bandari kubwa kabwe
7)bandar kubwa kigoma
8)bandari kubwa mbambabey
9)Bandar kubwa itungi
10)Hospital ya wilaya kigoma vijijin
11)hospital 2kubwa mosh
12)hospital kubwa Tatu Singida
14)hospital 2kila mkoa tanzania Yan jumla 64
15)fly over mfugale
16)fly over ubungo
17)hospital ya temeke
18)nyumba za police nchi nzima
19)umeme kila kijiji
20)kulipa mshahara kwa wakat
21)hospital kuto kosa madawa
22)hospital kuto kosa vifaa vya kujifungulia
23)wanafunzi kupewa mkopo kwa wakat
24)kiwanda cha kuchujia Dhahabu
25) kivuko cha mwanza kipya
26) meli Tatu Ziwa viktoria
27)barabara za lami kiloomiter 4700
28)uwanja wa ndege chato
29)barabara njia nne dar to chalibze
30)stand ya Mbezi (magufuli stand)
31)hifadh ya burig
32)viwanda vya sare za jeshi
33) Treni ya kariakoo gongolamboto
Ivyo ni vichache tu ukiacha Ile hospital alio ijenga Kanda ya Ziwa yenye ukubwa Mara mbil Zaid ya muimbil pia io niamiaka 5na miezi 2
 
Wewe ndio mgonjwa wa akili...as we speak Tanzania ina km 12k za tarmac road(source Tanroads)...izo 14k alijenga hewani?
km awamu zote zimejenga 12k, yy amejenga 14k, hao maraisi wengine walijenga km ngapi?
lets say hawakujenga kabisa, izo 2k za ziada zimepotelea wapi?
Ulivyo kilaza hujui ht km 1Km ya Lami ina cost how much na lile bwawa limetu cost how much.
Kifupi 1km of a tarmac road ni 1B so izo 1500k zitacost 1.5T while lile bwana litatucost 6T.
Now tafta thamani ya hio miradi iliyo orodheshwa hapo juu do the add uone km inafika 6T.
JF is a home of Great thinkers not vilaza km ww, rudi fb huku umepotea...[emoji1787][emoji1787]

6T...
Duuh
Kweli tulikuwa tunaingizwa cha kike na Jiwe
Hawa ndio wezi wa mali ya umma.......
 
Naona kama umesema kinyumenyume. Hiyo mikopo enzi za JK ilikuwa 100% bila chenga wala longolongo. Tena kuna naewajua walikuwa hadi na Div 3 huko wakapata asilimia 100. Sjui unaizungumzia dunia gani. To be honest, linapokuja suala la miundombinu JK amefanya kazi ya kipekee. Wengine msingekuja mjini kama si miundombinu aliyojenga. Yes, alikuwa na mapungufu yake lakini hakuna Rais aliyejenga zaidi yake tangu uhuru. Huo mkopo jiridhishe vizuri kwanza.
 
Tofauti yangu mimi na ww una watu unao wajua...mimi nimesoma 2006-2009 na nlipata 80%. Na hii ni baada ya kuandamana na kufukuzwa udsm mara mbili, wakafanya marekebisho kutoka 60% to 80%. B4 maandamano wote tulipewa 60% flat rate. Bado nalikumbuka sana hili kunji. Live Long wote tuliondamana enzi izo, we made a difference.
 
Tofauti yangu mimi na ww una watu unao wajua...mimi nimesoma 2006-2009 na nlipata 80%. Na hii ni baada ya kuandamana na kifukuzwa udsm mara mbili, wakafanya marekebisho kutoka 60% to 80%.
Kwani point yako nn hasa?
 
Huyu jamaa ni kilaza wakutupwa kwaza magufuli wake mpaka anafariki sidhani kama hilo bwawa limaliza tilioni hata moja
Acha kudhani waziri wa Nishati aliliambia bunge mkandarasi ameshalipwa 2T.
 
Nashukuru kwa majibu mazuri japo umejibu swali ambalo sijauliza.
Nadhani mkapa alifanya kazi kubwa zaidi ila huonekana kwa kuwa watanzania ni watu wa kutrend na matukio.
Huwesinukamlinganisha mtu aliekaa muaka mitano tena kaondoka bila maandalizi na mtu aliekuako miaka kumi akaondok kwa utaratibu..mwaka mmoja ni mkubwa mno ktk utekelezaji km tayari una mipango mikakati kimara ya utekelezaji.
 
Kikwete alifanikisha Kushamiri kwa biashara ya madawa ya kulevya yaliyoathiri kizazi Kizima cha nguvu kazi ya waTanzania!

Alinajisi utaratibu wa nchi kupata katiba mpya baada ya matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi.

Aliingiza rushwa katika nchi kwa kuwaingiza wafanyabiashara kwenye siasa za chama tawala.

Lini biashara ya Madawa ilikoma Tanzania?..

unafahamu ni wakati gani walikamatwa Shikuba na Chonji ambao ni dealer wakubwa wa madawa kuwahi kutokea Tanzania...? nenda pale Keko kafanye research matajiri wengi wa madawa walihifadhiwa lini? unamfahamu kamanda Nzowa alihudumu wakati gani? na wauza madawa kwanini walimuogopa... Ule mzigo wa Shikuba na Maurine lyiumba pale Lindi ulikamatwa lini?.....

Tuambie wale rafiki zake na aliyekuwa bosi wa Dsm kwanini walikuwa hawakamatwi, fanya research down ze floor utajua ukweli wa mengi, pita maeneo ya watoto wa mjini kuanzia Ilala, TMK, kino, migomigo, msasani nk utajifunza kitu...
 
Mafanikio mengine ni kuhakikisha Babu Seya na wanae wanaozea jela.... Kumla yule mama mpaka talaka inaweza kutoka muda wowote.
 
Hii no 24 ya kupeleka umeme zanzibar umedanganya,znz wanatumia umeme wa bara muda mrefu sana kabla ya kikwete
 
Kikwete alifanikisha Kushamiri kwa biashara ya madawa ya kulevya yaliyoathiri kizazi Kizima cha nguvu kazi ya waTanzania!

Alinajisi utaratibu wa nchi kupata katiba mpya baada ya matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi.

Aliingiza rushwa katika nchi kwa kuwaingiza wafanyabiashara kwenye siasa za chama tawala.
Na ujambazi,watu walikuwa wanalazimishwa kujfungia ndani saa 1,kisa panya road wanafanya operation
 
Acha kupotosha wewe..yote hiyo miradi ni ya ukarabati tu vitu vilikuwepo. Eti SGR wakati hata Dodoma haijafika. Bandari zote zilikuwepo..Yan mataga bana wanajua kufosi
 
85% Ni kazi ya JK. Hiyo 15% hata Babu Tale yule Mbunge popoma angeweza kumalizia tu. Haikuwa big deal
Nonsense😎mradi ulikuwa umeshabuma,bila JPM kuingilia kati mpaka leo ungekuwa haujamalizika.Umesahau mambo gani aliyakuta pale baada ya kutembelea ule mradi upipokuwa umesimama?
 
Kwa uwezo mdogo na vituko vya Hayati Magufuli,kama aliweza kuwa raisi wa nchi hii,hivi kuna mtu wa kushindwa kuwa raisi katika nchi hii?
Umesahahu hata kwa JK wapinzani waliwahi kusema,kama nchi imeweza kuongozwa na JK hata mwendawazimu angeweza kuiongoza?
Vigeugeu😎
 
Back
Top Bottom