Tukumbushane kazi ambazo ukizifanya ni kumtegemea Mungu

Tukumbushane kazi ambazo ukizifanya ni kumtegemea Mungu

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Mimi naanza na udereva wa magari masafa marefu, hasa nje ya nchi.
 
Kufanyia masaji wake za watu
 
Kilimo hasa cha umwagiliaji,mvua ikiwa chache umejichanganya
 
Back
Top Bottom