Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Tanzania hii hakuna experience nzuri kama kusoma sekondari kwenye hizi shule kongwe na kusoma degree yako pale UDSM (Mlimani lakini) wale wa Mkwawa na DUCE hii experience hawawezi kuijua!
 
Block D 2006 tujuane.

Nilikuwa na kadem ka sociology kalikua kanakaa Block A.

Basi ulikuwa mwendo wa kuchedana tu.

Popote ulipo Rose B, mueleze ukweli mumeo Mimi memento ni nani
We muhuni ndio umeniharibia dem wangu aliyeniacha kijjn
😂😂😂
 
Mzee siku tetemeko nilikuwepo. Ulikuwa ni upepo mkali kisha ikapiga radi kisha umeme ukakatika.

Nakumbuka tulihisi ghorofa limekatika yaan Sisi tulikuwa floor ya nane...

Tukaenda Chini. Baada ya shoruba kuisha wengine tukagoma kurudi juu

Kamanda wangu Kapachino
 

FoE, Contena liko unaliona.. Kunji lilifika Jamhuri Street Wizarani.
 
Bumu la 2500 mbona juzi juzi tu mkuu around early 2000's.

Field elfu 8 kwa siku.

Stationary 120,000/=

Miezi miwili unapewa 270,000/= (150,000 kwa siku 60 + Stationary 120,000/=)
Hahaha
mambo yamebadilika sana, shilingi imeporomoka mno
 
Kumbu kumbu haikotoki we mzee
 
Sio poa mkuu ile siku siwezi isahau kabisaa. Ilikua ya kutisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…