Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Ukishanitajia COeT, mabibo hostel au Mlimani city,najua siyo vya enzi hizo... Hadi namaliza vilikuwa bado havipo...
 
Ukishanitajia COeT, mabibo hostel au Mlimani city,najua siyo vya enzi hizo... Hadi namaliza vilikuwa bado havipo...
kila nabii na kitabu chake kuna enzi za 1.UDSM kabla ya Mabibo Hostel
2.UDSM ya Mabibo Hostel
3.UDSM ya Magufuli hostel
Unaweza kuzigawa pia UDSM ya FOE na UDSM ya CoET
 
Sisi tumepita hapo boom 2,500 TZS/day. Kipindi hicho, mgomo na kufukuzwa chuo jbo la kawaida tofauti na Sasa Makada ndo viongozi wa DAruso
Hiki ndicho kipindi ambacho na mimi nilipita udsm! Boom 2500! Rais wa Daruso akiwa ni Mwita Mwikabwe (Mwita Waitara MB)!!

Kwa mara ya kwanza niliishi kwenye nyumba ya ghorofa na yenye madirisha ya aluminium pale Mabibo Hostel!!
 
Hongera Mkuu. Yule Makamu wa Mwita japo alikua mrembo lakini alisimamia Ile show za pale Nkrumah kibabe. Mpaka Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo akaja kutuliza mgomo. Tofaut na siku hizi vijana wanawaza KUBANA sauti na lipstick tu
 
Enzi hizo Makamu Mkuu wa Chuo ni Mathew Luhanga! Taaluma yuko Prof. Mayunga Nkunya, Fedha Prof. Yunus Mgaya!!

Hakika Udsm ilikua ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯! Dk mbili tu, KUNJI!!! 😁😁😁 Revolution Square!!!
 
Ukishanitajia COeT, mabibo hostel au Mlimani city,najua siyo vya enzi hizo... Hadi namaliza vilikuwa bado havipo...
Kwa hiyo ww umesoma UDSM enzi hizo pale kituo cha basi kontena kulikuwa na Kontena??,umesoma UDSM ile kabla ya mti mdigrii haujapandwa??au ile UDSM ya msosi bure mboga bure???ulisoma UDSM ipi???UDSM ambayo ili uchaguliwe kusoma kozi fulani baada ya kuwa admited lazima upige pepa harafu unapita mchujo??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Matriculation
 
we nae bumu lilikuwa elf 5,kipndi hiyo watu wanataka kuandamana Hadi ikulu na nakumbuka alikuja kawambwa alikuwa waziri wa elimu kipndi hicho.
 
Reg No. ...../T.96
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…