Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Mkuu hii ni biashara ya wazungu🤣🤣🤣🤣🤣Aya marazi niyakutengenezwa pia kunasiri nyingi najalibu kufikilia kama ugonjwa alipatikana kagera kwa mtu mmoja ulienea vip? Maan ilikua rahisi kuzibiti kupitia uyo mgonjwa? nawaza mbali zaid miaka ya 70 miundo mbinu haikua rafiki kusababisha muingiliano wawatu wengi, je ilikua vip ugonjwa kufika dar au mtwara? na vip kuhusu watu wa vijijini?