Tukumbushane tu wasanii ambao game limeshawaacha ila wao kama bado hawajijui

100% ww ni shabiki wa wakata viuno maana list yote ya men ni Wengi ni watu wa Hip Hop uliowaweka alafu ndio wanaofanya vzr muda wote na sasa. [emoji22]Too sad bado ww hufuatilia mziki maana hata chat za muziki top 20 au top 10 za nyimbo zinazokiki ndio wasanii ambao wapo kwenye list yako ya kipuuzi hujui chochote kuhusu muziki ww fanya tafiti yako na upya.
 
AY huyu dogo tangu enzi za old school nilikuwa simuelewi alikuwa anaforce sana kati ya ngoma lukuki alizotoa enzi hizo mi niliielewa RAHA TU REMIX akiwa na marehemu COMPLEX zingine zote hadi sasa ni urojo,kwa mbaliiiiiiiii ZIGO REMIX ambayo mondi kambeba, project zake nyingi kabla ya kutoka huwa zina promo ya kufa mtu sasa subiri kazi itoke ni ardhi na mbingu,kiufupi AY aendelee na biashara zake tu ila muziki kama ANA FORCE.
 
Ila NAY wa Mitego kishaisha zamani,ila anajifanya kujificha kwenye shamba la mchicha,kwa kujifanya kuwaponda wenzake wamefulia wakati yy ndiye ana hali mbaya kuliko anao waponda,sijui anazani hatumuoni.
 

OMG...!!

Is AY mentioned down here !!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…